Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Anaenda kumpa tena na wakati huu wanakuwa wanakucheka kwa pamoja.Alishawahi kumpa,kwahiyo hakuna cha ajabu
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda kumpa tena na wakati huu wanakuwa wanakucheka kwa pamoja.Alishawahi kumpa,kwahiyo hakuna cha ajabu
Atakua ni fukara, ndio maana mke kamwambia Mume.1m sio 10milion??
na amuombe tigo na asipompa tigo asambaze picha
Akampe tu lakini tayari kamdhalilisha mtu wake,maana hizi picha zinasubiri maamuzi ya wajumbe hapa kikaoniAnaenda kumpa tena na wakati huu wanakuwa wanakucheka kwa pamoja.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Sikuomba mkuu,alikuwa anajieleza tu kwamba ana hali mbaya sana hata anapochati kitu kimesimama ,kama huamini natuma picha hiyo uone,akatuma.Nadhani angeombwa angeshtuka asingetumaSasa na wewe unapata wapi ujasiri wa kuomba kuona uchi wa mwanaume mwenzako?
Kama ana mdushelele wa maana kuliko wewe, si utaanza kupata mfadhaiko?
Acha kuendekeza upuuzi. Block, kisha achana naye.
Mpigie simu, muambie acha mazoea na mke wangu. Vinginevyo yatakukuta mengine. Kisha kata simu, endelea na maisha yako.
Kuendelea kuchat naye ni kumuentertain. Kuzidi kumpa fursa ya kumtafuna mkeo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii komeshana amuombe tigo na asipompa tigo asambaze picha
Akambake mkuu.Sasa na wewe unapata wapi ujasiri wa kuomba kuona uchi wa mwanaume mwenzako?
Kama ana mdushelele wa maana kuliko wewe, si utaanza kupata mfadhaiko?
Acha kuendekeza upuuzi. Block, kisha achana naye.
Mpigie simu, muambie acha mazoea na mke wangu. Vinginevyo yatakukuta mengine. Kisha kata simu, endelea na maisha yako.
Kuendelea kuchat naye ni kumuentertain. Kuzidi kumpa fursa ya kumtafuna mkeo.
Hapo unayedhalilika na kuonekana fala ni wewe nakwambia.Akampe tu lakini tayari kamdhalilisha mtu wake,maana hizi picha zinasubiri maamuzi ya wajumbe hapa kikaoni
Kabisaaaa maana kama ni mtu mzima ameshapewa majibu ya kukataliwa atawezaje adi kutuma picha za utupu wake?Ulichat nae nn mpaka akaona ngoja atume kabisa na picha? Kuna majibu ulimpa akasimamisha.
FAHAMU KUWA WANAWAKE WANAJUA NJIA ZA KUMKATAA MWANAUME NA ASISUMBUE.
Kabisaaaa maana kama ni mtu mzima ameshapewa majibu ya kukataliwa atawezaje adi kutuma picha za utupu wake?