Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

Mke wako ndio wa kusimamisha huyo jamaa asiendelee na upuuzi wake sio wewe.Akiendelea kumuentertain ataliwa tena,akiwa mkali huyo Ex wala hatathubutu,so hatma ya mahusiano yenu yapo kwa mkeo
 
Si mkeo aende akatoe taarifa polisi? Huyo jamaa ana kosa la kushare picha za utupu. Hata kama ni zake ni.kosa kisheria. Acheni kuendekeza ujinga.
 
Sasa na wewe unapata wapi ujasiri wa kuomba kuona uchi wa mwanaume mwenzako?

Kama ana mdushelele wa maana kuliko wewe, si utaanza kupata mfadhaiko?

Acha kuendekeza upuuzi. Block, kisha achana naye.

Mpigie simu, muambie acha mazoea na mke wangu. Vinginevyo yatakukuta mengine. Kisha kata simu, endelea na maisha yako.

Kuendelea kuchat naye ni kumuentertain. Kuzidi kumpa fursa ya kumtafuna mkeo.
 
Sikuomba mkuu,alikuwa anajieleza tu kwamba ana hali mbaya sana hata anapochati kitu kimesimama ,kama huamini natuma picha hiyo uone,akatuma.Nadhani angeombwa angeshtuka asingetuma
 
Sasa na wewe unapata wapi ujasiri wa kuomba kuona uchi wa mwanaume mwenzako?

Kama ana mdushelele wa maana kuliko wewe, si utaanza kupata mfadhaiko?

Acha kuendekeza upuuzi. Block, kisha achana naye.

Mpigie simu, muambie acha mazoea na mke wangu. Vinginevyo yatakukuta mengine. Kisha kata simu, endelea na maisha yako.

Kuendelea kuchat naye ni kumuentertain. Kuzidi kumpa fursa ya kumtafuna mkeo.
Akambake mkuu.
 
FAHAMU KUWA WANAWAKE WANAJUA NJIA ZA KUMKATAA MWANAUME NA ASISUMBUE.

Ulichat nae nn mpaka akaona ngoja atume kabisa na picha? Kuna majibu ulimpa akasimamisha. Acha huo upumbavu unaofanya.
 
Ungetumia tu hekima ya kuongea na huyo jamaa...kwamba acha mchezo unaofanya tafadhali huyu ni mke wangu
 
Ulichat nae nn mpaka akaona ngoja atume kabisa na picha? Kuna majibu ulimpa akasimamisha.

FAHAMU KUWA WANAWAKE WANAJUA NJIA ZA KUMKATAA MWANAUME NA ASISUMBUE.
Kabisaaaa maana kama ni mtu mzima ameshapewa majibu ya kukataliwa atawezaje adi kutuma picha za utupu wake?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkeo nae bado anamuintertain uyo jamaa, mtu ameshamkataa kwa ukali na msimamo wa kistaarabu kabisa jamaa atafikiaje hatua ya kumtumia utupu wake? Angalia asije akawa anakupa taarifa tu ujue kuwa kwamba nayeye anapendwa anatongozwa...
 
Kabisaaaa maana kama ni mtu mzima ameshapewa majibu ya kukataliwa atawezaje adi kutuma picha za utupu wake?

Ukiona mwanamke anatongozwa ujue ameamua kwa ridhaa yake kukubali atongozwe maana wanapenda kutongozwa na wao ndo huruhusu mazingira ya kutongozwa otherwise huwezi mtongoza, hutapata hiyo nafsi na mawasiliano yako atayablock.
 
Back
Top Bottom