Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

Ungetumia tu hekima ya kuongea na huyo jamaa...kwamba acha mchezo unaofanya tafadhali huyu ni mke wangu
Ni zaidi ya miaka miwili anamtafuta na sijawahi kuchukua hatua yoyote,mpaka nilipoamua kuchat naye
 
Mleta mada fanyia kazi huu ushauri, utakuja kunishukuru baadae..
 
Hapo tofali zimeshushwa site!!!

Huyo si mkeo? Umemuoa kwa ndoa?
Ndoa ni agano kati yako, mkeo na Mungu

Huyo jamaa anajaibu kumchezea Mungu wako

Mtu akimchezea Mungu wako unamfanyeje?
Unamshughulikia ipasavyo, humsamehi

Fanya hivyo hivyo sahau kumsamehe na hizo picha kamwe usifute hiyo ni leverage itakufaa

Halafu hayo maoni ya Carlos The Jackal yafuate hivyo hivyo then hiyo 1M itumie na mkeo kupata Dinner moja expensive

Usifute picha!
 
Ukiona mwanamke anatongozwa ujue ameamua kwa ridhaa yake kukubali atongozwe maana wanapenda kutongozwa na wao ndo huruhusu mazingira ya kutongozwa otherwise huwezi mtongoza, hutapata hiyo nafsi na mawasiliano yako atayablock.
Kutongozwa kwa mwanamke hawezi kuzuia, ila anaweza kuzuia mazoea mara moja na asiendelee tena
 
Ni zaidi ya miaka miwili anamtafuta na sijawahi kuchukua hatua yoyote,mpaka nilipoamua kuchat naye
Kuna nafasi flani anampa uyo jamaa ndo maana anaendelea kuwasliana naye, maana navojua mwanamke akitongozwa km hana aja ya kuendelea na mawasliano anakuwa na majibu yenye msimamo ambao mwanaume mwenye akili timamu haezi endelea muda wote huo....chunguza kuna jambo utagundua afu cha kuuliza, mkeo toka umemuoa katongozwa na mtu mmoja tu? Kutongozwa hakuepukiki kwa mwanamke je, wote wanaomfuata anakwambia? Km hakuambii ni kwann huyo mmoja tuu? chunguza utarudi na majibu niko hapa napata kahawa
 

Achana naye
 

Hao wamekutana kopo na mfuniko! Huyu mama anataka mumewe apate murder case, kwani hajui jinsi ya kumkataa mtu? Anachat na ex mpaka anatumiwa picha, hajui jinsi ya kublock? Na huyo mwanaume atamsaidia kumlinda mkewe kwa matongozo yote mpaka ya vijana wa bodaboda?

Mwanamke kutongozwa ni kawaida, na umri huu wa kustaafu hata sie tunatongozwa lakini ukionyesha jibu straight mnaheshimiana. Huo mchezo wanafanya ni wa hatari na sio afya kwa mahusiano yao.
 
Hujisikii hovyo kuchungulia mkia wa mwanaume mwenzio ?

Mkeo ofcourse ni muhuni, why awasiliane na wanaume wengine huko ameolewa ?

Hawa wanawake watawatesa sana.

Kama uko vizuri kipesa ongea na mwanasheria wako ili akushauri.
 
Alishajichanganya katuma moja kama alivyo ,alituma ya kwanza ikiwa haionyeshi sura nikamwambia tuma nione na sura yako akatuma.
Chukuwa hiyo picha, ikuze kwenye A4 or A3 size, toa copy.nyingi sana, tafuta anakofanyia kazi nenda saa Tisa za asubuhi bandika kila kona mazingira ya kazini, weka maandishi kwamba anatafuta watu wa kumla tigo. Hizo picha peleka mitaani kwake na kwenye vijiwe vyake vyote. Hapo atahama mii. Kila ukisikia yuko sehemu furani peleka hizo picha kwa Siri Sana. Hapo lazima akili itakaa sawa.
 
Labda ajiulize swali moja.
Atafaidi nini akizianika picha?
 
Hivi kama unamtaka mke wa mtu na huyo mwanamke hataki halafu wewe unatumia nguvu kubwa kumshawishi akubali,hapo tatizo ni mwenye mke ,wewe mtongozaji au mwanamke?
Aliyapa kuwa mwaminifu kwako ni mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…