Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

Nilitamani mngeuliza hivi, mke ukikuta picha za uchi za mchepuko wa mumeo utazifanyaje.

Mimi, ningeziprint vizuri nikazitaftia kila picha na frame yake, narudi nyumbani nawahamisha watoto nawaambia nendeni mkaspend time kwa bibi leo amewamiss. Nawa deport na dada yao kwa usiku mmoja ili ndani nibaki mimi na kidume wangu.

Kidume anaingia anakuta nimezibondea kwenye ukuta wake pembeni ya picha zetu za ndoa. Nimezijaza na kordoni hadi chumbani yani kila anapotupia jicho ni picha za mchepuko wake. Af nampokea na bashasha kama zote. Hapo nimempikia candle light dinner. Akiniuliza hiki nini namwambia kwani si ni picha kama hizo za kwetu tu mpenzi wangu.

Wewe kama mwanaume utafanyaje utanimeza?🤭😅

Ikatokea amefanya fujo namwambia basi ngoja nikamalizie na stock iliyobaki maana hazijaisha🤭 povu ruksa
 
one million mimi ya nini? Nahakikisha anauza nyumba ya urithi😂 atajuta
 
Ukatili wakijinsia 🤣
 
Acha ushamba na Utoto, huo muda wa kuchat na mwanaume mwenzio huku uki pretend kuwa ni mwanamke unautoa wapi?

Mweleze huyo jamaa kiume aache hiyo tabia huku ukijitambulisha kwamba wewe ndio mume wa Huyo mwanamke Kisha mwambie Mkeo amblock kila mahali otherwise akijiendekeza kuna siku atarudia Kuliwa na ndio itakuwa mwisho wa Yeye kukusimulia.

Play your role mwanamke aamue mwenyewe kukuheshimu na kujituliza.

Akiamua kwa Dhati ya Moyo wake kukuheshimu na kutulia Yeye mwenyewe Huyo jamaa hata afanyeje hatafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…