Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo Mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia na Kukilaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) utadhani Samia na CCM ndiyo walimwambia azae hovyo kama Sungura Pori na awe na Mahawara hao Watatu.