Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
Tubadilishane uzoefu:
Cc:
Shyshka Reinhardt
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
- Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).
- Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Tubadilishane uzoefu:
- Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
- Wale ambao hamko tayari, sababu zenu ni zipi?
- Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
- Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Cc:
Shyshka Reinhardt