Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kabisa AI see🙌🏿🏃🏿Kabisa
Maana hata hicho kipimo kikipatikana, utu wangu utakuwa ushanajisiwa.
Kabisa AI see🙌🏿🏃🏿Kabisa
Maana hata hicho kipimo kikipatikana, utu wangu utakuwa ushanajisiwa.
Watutafutie njia mbadala wallah kuna vitu sio vya kubet navyo! Hasa hicho😀Haina shida kabisa, wanakuwekea tube na unakuwa umelala, ni kipimo muhimu sana kwa kansa ya tumbo na mapumbu, hizo kansa ukiziwahi zinatibika 💯
Hapana, si ugonjwa unaofanana.Kwa nini ndugu zako wanasumbuliwa na ugonjwa unaofanana? Halafu vipimo vyake mpaka upitishiwe mlija mkund:ni? Au una agenda nyingine tofauti na ya vipimo?
Duuh, bora ufe kuliko wapitishe kitu huko.Kwangu mimi hii kitu staki hata kuiskia na bora nife tu na huo ugonjwa.
Tulia weweee😅Me naomba kuuliza tu kama kuna ugonjwa unaitwaje na nini kinasababisha uupate
Ili nipambane kuuepuka mapema
Basi tusiendelee na mdahalo 😎 mada ngumu sana 😅Hawakiingizi sana🤣💔
Fact 💯 , hypothetically, ingekutokea wewe, ungeamua kipi?Utaamua mwenyewe afya yako au anus yako.
Kabisa, ila shida ukichelewa magonjwa yameshachanganya, tiba inakua mtihani, wewe itakua daily kubinukia madaktari tu 😂 😂.Wala hakuna mjadala siku ukiumwa vizuri utakuja binukia kipimo tu mwenyewe kiroho safiView attachment 3552478
Kama bowasiri , inalawa sana watu kizembe mpka mtu anuke kabisa ndio anatafuta tiba kisa aibu mpka kwenye afya yakoKabisa, ila shida ukichelewa magonjwa yameshachanganya, tiba inakua mtihani, wewe itakua daily kubinukia madaktari tu 😂 😂.
Na wangu kakataa, tuwaombee tu wabaki salama.Mwenzangu asingekubali!
Wanakuchoma sindano unalala, wala ukiamka hutojua wamefanya nini, shida ni kwamba kabla ya kulala, tayari unakua ushajua watakachokufanya 😂😂.Loooh!! Mi labda sindano ihusike kabisa bila hivyo siwezi
Zitaachwa ila hali ikishakua mbaya utazileta mwenyewe mbio mbioKuna sehemu zinatakiwa kuachwa tu
Zijiozee🤔Kuna sehemu zinatakiwa kuachwa tu
Sasa prostate zenu ziko karibu na rectum huko, watapitishaje kwa oral?kwanini hicho kipimo wasikipitishe kwenye oral route?
Kwan wewe vipi Upo tyr kwa hilo 😇Kidole tu😂 sasa si tiba, mbona watunwanawekewa dawa na mganga kwa kutumia mjegejo🤭