bora niende Iran nikabutuliwe na bomu aiseeNakusaidia ujue?
Kansa zote bongo kwa wanaume, zaidi ya asilimia 30 ni prostate.Najitahidi mno na vyakula na maombi hilo balaa lisije likanikuta! 😭🙌🏿
Afadhali💯💪🏿😂Possibilities za kupatwa magonjwa makali maeneo hayo sio kubwa namna hiyo
Kwa watu 100 wanaweza kuwa wawili(tathmini zisizo rasmi)
Prostate: tumia ultra scanHii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
View attachment 3552474
- Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).
View attachment 3552451
- Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Tubadilishane uzoefu:
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
- Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
- Wale ambao hamko tayari, sababu zeni ni zipi?
- Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
- Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Molested tena, mbona unatumia maneno mazito sana mkuu.I'd rather die with my dignity than live with the remorse of having been molested by some Doctor's finger.
Understood 🙌My ass is strictly out of bounds.
Mambo mengi sana kuanzia sigara, poor diet( processed foods), uzito (obesity),pombe nyingi kupitiliza etc lakini unaweza ukaishi perfect life and very healthy lakini ukapata kansa kutokana na cell za mwili kushindwa kukua zinavyotakiwa,solution ni vipimo kama hivyo na kuomba mungu wakoInaweza kusababishwa na nini yaani kiongozi nielekeze vizuri
Ukikataa kidole cha daktari halafu ukakubali transrectal ultrasound ambayo inapitishwa huko huko, unakua umeavoid nini sasa?Prostate: tumia ultra scan
Hiki kikombe kiniepuke nakuomba kwa unyeyekevu Baba Mungu🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙇🏿♂Kansa zote bongo kwa wanaume, zaidi ya silimia 30 ni prostate.
Zingatieni sana hizo diets na mitindo ya maisha aiseeh.
Na Mungu awasaidie kwa kweli.
Hivi ni kwanini hii issue mnaichukulia serious sana?? Kwani kuna shida gani inatokea ukipimwa tezi?🤔bora niende Iran nikabutuliwe na bomu aisee
Acha nizingatie afya zaid na Mungu anilinde haya magonjwa mengine Daah wanaoumwa wapate NAFUU 🙏🙏🙏
Amina 🙏 na Mungu akasikie maombi yako kaka yangu 🙏Hiki kikombe kiniepuke nakuomba kwa unyeyekevu Baba Mungu🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙇🏿♂
Vijana wanavyopiga punyeto kwa wingi kupata prostate cancer sio rahisi huko mbeleniKansa zote bongo kwa wanaume, zaidi ya asilimia 30 ni prostate.
Zingatieni sana hizo diets na mitindo ya maisha aiseeh.
Na Mungu awasaidie kwa kweli.
Asante sana Dada Mungu akubariki🙏🏿Amina 🙏 na Mungu akasikie maombi yako kaka yangu 🙏
Ndiyo, manake hata kama watapitisha nikiwa usingizini tayari utu na uanaume wangu watakuwa wamenivua. kitu ambacho huwa sitaki.Hapana, si ugonjwa unaofanana.
Wa kwanza ni checkup, kuna umri ukifika wanaume mnashauriwa mfanya uchunguzi wa kansa ya tezi dume (prostate cancer) huo uchunguzi ndiyo unafanywa hivyo.
Huyu mwingine, ilidhaniwa anaweza kua na uvimbe au shida kwenye utumbo mpana (colon).
Duuh, bora ufe kuliko wapitishe kitu huko.
Yako mengi, ila nyie vijana wadogo mnapata sana colorectal cancer kwa sababu ya kula processed food, kutokula fiber, kuzidisha sukari, vilevi na mitindo mibaya ya maisha.Me naomba kuuliza tu kama kuna ugonjwa unaitwaje na nini kinasababisha uupate
Ili nipambane kuuepuka mapema
Hiki kikombe kiniepuke nakuomba kwa unyeyekevu Baba Mungu🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙇🏿♂
Ni kweli na prostate cancer ukiiwahi kwa kipimo kabla ya stage 3 inatibika 💯,uzuri unapima mara moja kwa miaka 5, ni vizuri kupima ukifika 40 lakini sasa kuna pandemic kansa ya tumbo watu chini ya 40 years oldKansa zote bongo kwa wanaume, zaidi ya asilimia 30 ni prostate.
Zingatieni sana hizo diets na mitindo ya maisha aiseeh.
Na Mungu awasaidie kwa kweli.
Mdogo wako alijua kama anataka kuliwa tak…o🤣🤣🤣.Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.