Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.

Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
  • Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).

    View attachment 3552451

  • Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
View attachment 3552474

Tubadilishane uzoefu:
  1. Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
  2. Wale ambao hamko tayari, sababu zeni ni zipi?
  3. Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
  4. Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
Digital Rectal Examination 😂😂😂😂😂😂
 
Wamechagua mateso makali badala ya tiba. Nina uzoefu na kipimo cha prostate, daktari anaingiza kidole kidogo tu kupata feeling ya ukubwa wa tezi. Na hicho ndicho kipimo cha uhakika kuliko uroflow au kidneys ultrasound.

Unaogopa kudhalilika sekunde 15-30 instead ukipata saratani ni mateso makali hadi kufa kwako
 
Me naomba kuuliza tu kama kuna ugonjwa unaitwaje na nini kinasababisha uupate

Ili nipambane kuuepuka mapema
Screenshot_20260304-214029_ChatGPT.jpg

Ni kipimo cha dakika 1 au 2 tu 😀😀😀
Binti wa zamani
 
Back
Top Bottom