Huwez jua ukute daktari akataka kujaribu kupitisha abdalah kichwa wazi...hiyo tezi dume bora iniumize tuTukiwa wazima ni rahisi kukataa..lakini ukiumwa hali ikawa mbaya akili inakubaliana na yote as long as ni kipimo tu
Huwez jua ukute daktari akataka kujaribu kupitisha abdalah kichwa wazi...hiyo tezi dume bora iniumize tuTukiwa wazima ni rahisi kukataa..lakini ukiumwa hali ikawa mbaya akili inakubaliana na yote as long as ni kipimo tu
Hata kwenye tiba jamani?Kuna sehemu zinatakiwa kuachwa tu
Prostate Cancer.Me naomba kuuliza tu kama kuna ugonjwa unaitwaje na nini kinasababisha uupate
Ili nipambane kuuepuka mapema
kutibiwa kwao haiwezi kuondoa msimamo wangu kuwa sitaki kufanyiwa hicho kipimo. Ni sawa na kuwa eti nimeugua ukimwi nitumie ARV hiyo sahau.
Soma hiiKupigwa finger si mchezo😂
Ndio huenda wateja wakajifunza jambo😅Unataka niseme hapahapa?
Rhymes zake zitaishi kwenye uhalisia wa wengi wenu humu 😂Kila MTU atakubali Kwa Siri.
Inspecta haroun kasema
Hakuna noumaaa, hakuna noma inspecta
Ukishaingia watakuinspect na itakubali
Mim ndo maana siamini madoctor kweli kuja ifike hiyo hatua ya kunifokonyoa mndukulu ntakua cjui wameniua nusu kaputi. Kama ndo kipimo pekee heri ikae
Ni nyingi sana hata sekunde ni mtiti
Asante mkuu subir nifatilie vizuriProstate Cancer.
Hakuna namna lazima ufanyiwe.Kuna sehemu zinatakiwa kuachwa tu
Endoscopy hata hapa bongo inafanywa kwa wagonjwa wa peptic ulcer disease.Sasa prostate zenu ziko karibu na rectum huko, watapitishaje kwa oral?
Japo nchi zilizoendelea nimeona wana camera unaweza kuimeza ila huwa inatumika sana kwenye shida za utumbo mwembamba na siyo colon.
SawaAsante mkuu subir nifatilie vizuri
Hii nayo ni mpya sijawahi kuisikia 🤔 kwahiyo ikitokea umepata HIV hutatumia ARV kwa sababu gani?Ni sawa na kuwa eti nimeugua ukimwi nitumie ARV hiyo sahau.
kuna vitu ambavyo hutakiwi kabisa kuvifanya ukiwa hapa duniani. Moja ya vitu hivyo ni kipimo hicho.Wamechagua mateso makali badala ya tiba. Nina uzoefu na kipimo cha prostate, daktari anaingiza kidole kidogo tu kupata feeling ya ukubwa wa tezi. Na hicho ndicho kipimo cha uhakika kuliko uroflow au kidneys ultrasound.
Unaogopa kudhalilika sekunde 15-30 instead ukipata saratani ni mateso makali hadi kufa kwako
Hakika.Cheka sana lakini omba hayo maradhi yasikufike.