Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Yako mengi, ila nyie vijana wadogo mnapata sana colorectal cancer kwa sababu ya kula processed food, kutokula fiber, kuzidisha sukari, vilevi na mitindo mibaya ya maisha.

Zidisha mboga mboga (leafy greens) na high fiber food, ila kwa taarifa sahihi, onana na daktari wako akushauri

Asante Aunt 🙏
 
Mdogo wako alijua kama anataka kuliwa tak…o🤣🤣🤣.
giphy 33.GIF

Hivi ile njia ya kuingiza camera wao hawana🤔
Ndiyo hiyo ya kuingiziwa camera aliikataa
dawa halisi kwa binaadamu ni matunda na majani ya miti tu. Haya madawa ya hospital ni ya kupunguza maumivu sio kuondoa tatizo.
💯 facts.
 
Molested tena, mbona unatumia maneno mazito sana mkuu.
Dunia ya leo imekosa uungwana.

All it takes is one wrong intention ya daktari kubadilisha kipimo kuwa ulawiti.

Nitakuwa na ithibati gani the finger wiggling is a part of the test na sio kuwa jamaa linafanya yake.

I wouldn't want to find out hivyo, huko ni no gone zone😀.
 
Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.

Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
  • Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).

    View attachment 3552451

  • Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
View attachment 3552474

Tubadilishane uzoefu:
  1. Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
  2. Wale ambao hamko tayari, sababu zeni ni zipi?
  3. Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
  4. Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
😀😀😀 Dada wane Binti wa zamani, andiko lako ni nyeti sana na umeliandika humu kwa watu ambao hawafikirii wala hawawazi kama kuna siku wanaweza kupitia ugonjwa kama huu.

Lakini tukumbuke
1. Kipimo cha dakika chache kinaweza kuokoa maisha ya miaka mingi. Na Madaktari hufanya taratibu hizi kila siku; kwao ni kazi ya kawaida kabisa ya kitabibu, si jambo la aibu wala la kudhalilisha mtu. Faragha huheshimiwa. (Hata Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete alishawahi kuibiwa huu ugonjwa na akapona

2. Ugonjwa hauondoki kwa kukataa kipimo. Ukigundulika mapema, matibabu huwa rahisi, nafuu, na yenye mafanikio makubwa. Ukichelewa, gharama yake huwa kubwa kiafya, kifedha, na kihisia kwa familia na jamii nzima.

3. Ujasiri wa kweli sio kukwepa kipimo, bali ni kuchukua hatua ya kulinda afya yako kwa ajili yako na kwa ajili ya watu wanaokupenda. Familia inakuhitaji ukiwa hai na mwenye afya.

Afya zetu ni muhimu kuliko aibu ya dakika chache 🤣🤣🤣
 
Umeandika kwa busara sana kaka yangu na ni ukweli mtupu.
Waione wote wanaopinga hicho kipimo, akiwemo shemeji yako 😂
 
Ndiyo hiyo ya kuingiziwa camera aliikataa
Kwahio walitaka kumuwekea kilainisha(KY)🤣🤣 kuna mshkaji wa kitaa alikwenda somea udaktari(MD) sasa wakati yupo Intern aliwepo Muhimbili. Alisema yeye na wenziwe ilikuwa tabia yao kuwatia vidole vya nyuma wagonjwa kwa makusudi hata kama mgonjwa hahitaji kufanyiwa hivyo🤣🤣
 
Back
Top Bottom