Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Swali je njia yakupima huo ugonjwa ni iyo tu kuingiywa kitu mata koni,akuna vpimo vya damu,utrasaund,xray kupima ata kinyes na je ata uko kwa wenzetu nao wanapimwa kama uku?
 
Mwanaume aliekamilika ata kukaa kwenye mstar tu kwa kubanana na wanaume wenzio ni mtihan sembusi kusikwa au kuingiza kitu uko nyuma?
 
Njia rahisi ya uhakika ni vipimo kama hivyo, kansa haina kinga ni kuiwahi tuu kabla ya stage 3 kwa hivyo vipimo, ukichelewa haitibiki
Hivi unaweza kuanza kupata dalili za kansa zikiwa tayari stage 3?
Yani ilipoanza hakukuwa na dalili yoyote
 
Hivi unaweza kuanza kupata dalili za kansa zikiwa tayari stage 3?
Yani ilipoanza hakukuwa na dalili yoyote
Any stage Inawezekana kabisa ukaigundua kwa dalili au kwa vipimo, tatizo especially nchi zetu hatuna mambo ya kufanya annual check kwa hiyo wengi inakuwa too late, kwenye nchi zilizoendelea siku hizi wana full blood/body scan ya kucheck cancer zote mwilini
 
Wanafanya genetic testing. Kuna saratani nyingi zinategemea na genetic predisposition. Halafu ukijumlisha na mazingira ndo inachochea.
 
Kunishika trako langu tu ni shughuli, tena nikiwa nimevaa nguo lazima ujieleze, mke wangu haguzi sembuse Mdoktarioo
 
Back
Top Bottom