Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Yeyote anayesema hawezi kufanyiwa colonoscopy sababu hajaumwa ila ukiumwa vizuri haikwepeki. Na gharama zake sio ndogo.
Kwenye maradhi hakuna uanaume ni jambo la wakati.
Usichonge sana ngenga ukajiona mgumu sababu hujafika wakati wako wa kuumwa.
Muombe Mungu akuepushe yasikukute.
Bora uwaambie hawa wenzio, maana kubwata ndo kitu wanajua.
 
Ndiyo maana yake

Hayo tuyaache ingawa jambo hilo nililisikia kutoka kwa binti mmoja mwana JF akisimulia jinsi alivyokuwa anamfinga jamaa ili akojoe. Na huyo jamaa alikuwa mpinzani na sasa namuona anapiga jaramba huko CCM.

Mwanaume kuingizwa kidole awe daktari au nani, ni kudhalilisha ukoo mzima. Hadhi ya mwanaume ni kutoingizwa kitu maana sie tumeumbwa kuingiza na nyie mmeumbwa kuingizwa na kupokea. Sioni shida mwanaume kwa makubaliano na mpenzi wake kumfaidi D2 (na siamini kuna mwanaume mtu mzima hajawahi kuonja D2 ya mwanamke - Siri za Vyumbani), hayo ni mambo ya wawili. Nina uhakika hata wewe mtu akikupima huna marinda, ila haiondoi hadhi yako maana umeumbwa kuingizwa. Ila Dume, ni mkosi kwa ukoo mzima
Ndipo ninapo washangaa Wabongo, kweli UNAFIKI umewajaa hadi hamuoni.
Khaaah
 
Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.

Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
  • Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).

    View attachment 3552451

  • Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
View attachment 3552474

Tubadilishane uzoefu:
  1. Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
  2. Wale ambao hamko tayari, sababu zenu ni zipi?
  3. Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
  4. Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Natanguliza shukrani, Alamsiki!

Cc:
Shyshka Reinhardt
Sifanyi hizo mambo, kwa sababu kuna noninvasive alternatives.

Noninvasive alternatives to a Digital Rectal Exam (DRE) for prostate screening—
  • Multiparametric MRI (mpMRI): A 3.0T MRI provides detailed imaging of the prostate to locate tumors without an endorectal coil, acting as a "trousers on" test that can often replace or guide biopsy decisions.
  • Advanced Urine Tests (MyProstateScore 2.0/ExoDx): These tests analyze biomarkers in urine to detect the risk of high-grade prostate cancer, offering high accuracy for men with elevated PSA.
  • 4Kscore Test: A blood test that combines multiple PSA measurements with clinical information to predict the likelihood of aggressive prostate cancer.
  • Standard PSA Blood Test: While not as comprehensive as an MRI, a simple blood test is widely used to screen for elevated prostate-specific antigen levels.
Noninvasive alternative to colonoscopy—
  • Stool DNA Test (Cologuard): An at-home kit that checks for abnormal DNA and blood in stool. Recommended every 3 years for ages 45+.
  • Fecal Immunochemical Test (FIT) / Fecal Occult Blood Test (FOBT): At-home tests detecting hidden blood in the stool. These are generally done annually.
  • Virtual Colonoscopy (CT Colonography): A, specialized, low-dose CT scan that takes 3D images of the colon without sedation or a scope, usually done every 5 years.
  • Blood-Based Tests (e.g., Shield): A newer, blood-based screening option that can be done during routine blood work, requiring no prep or stool collection.
 
Naelewa vyote hivyo, ila unaongelea mazingira ya hospitali za bongo au?
Insurance gani ita-approve those tests? siyo standard of care kabisa kwa bongo.
 
Hii case ya wote niliowaandikia nyuzi hapa, imetokea MNH.
Hakuna non invasive initial examination walizokua offered.

Na what about more that 85% ya watanzania ambao hawaishi Dar? wao wasipimwe kulingana na facilities zilizopo huko kwao?
Yes, Bongo. Waone Aga Khan Hospital, Muhimbili National Hospital (MNH), na Hitech Sai Healthcare Centre.

Doji MD msaada wa more information kwanini hizi tests na examinations 👇 hazifanywi kwenye initial screening zetu, na je hospitali zetu zinaweza.
Sifanyi hizo mambo, kwa sababu kuna noninvasive alternatives.

Noninvasive alternatives to a Digital Rectal Exam (DRE) for prostate screening—
  • Multiparametric MRI (mpMRI): A 3.0T MRI provides detailed imaging of the prostate to locate tumors without an endorectal coil, acting as a "trousers on" test that can often replace or guide biopsy decisions.
  • Advanced Urine Tests (MyProstateScore 2.0/ExoDx): These tests analyze biomarkers in urine to detect the risk of high-grade prostate cancer, offering high accuracy for men with elevated PSA.
  • 4Kscore Test: A blood test that combines multiple PSA measurements with clinical information to predict the likelihood of aggressive prostate cancer.
  • Standard PSA Blood Test: While not as comprehensive as an MRI, a simple blood test is widely used to screen for elevated prostate-specific antigen levels.
Noninvasive alternative to colonoscopy—
  • Stool DNA Test (Cologuard): An at-home kit that checks for abnormal DNA and blood in stool. Recommended every 3 years for ages 45+.
  • Fecal Immunochemical Test (FIT) / Fecal Occult Blood Test (FOBT): At-home tests detecting hidden blood in the stool. These are generally done annually.
  • Virtual Colonoscopy (CT Colonography): A, specialized, low-dose CT scan that takes 3D images of the colon without sedation or a scope, usually done every 5 years.
  • Blood-Based Tests (e.g., Shield): A newer, blood-based screening option that can be done during routine blood work, requiring no prep or stool collection.
 
Hii case ya wote niliowaandikia nyuzi hapa, imetokea MNH.
Hakuna non invasive initial examination walizokua offered.

Na what about more that 85% ya watanzania ambao hawaishi Dar? wao wasipimwe kulingana na facilities zilizopo huko kwao?

Doji MD msaada wa more information kwanini hizi tests na examinations 👇 hazifanywi kwenye initial screening zetu, na je hospitali zetu zinaweza.
Mimi nilidhani tukijibu tunajijibia wenyewe. Kumbe tunatakiwa tujibie na wengine?😂😂😂
 
Sawa wewe privileged wa Dar 😂 wenzako wafanyaje sasa?

Ila nimekujibu hata Dar, mfano MNH siyo standard procedure kufanya hivyo vipimo ulivyovitaja.
 
Sifanyi hizo mambo, kwa sababu kuna noninvasive alternatives.

Noninvasive alternatives to a Digital Rectal Exam (DRE) for prostate screening—
  • Multiparametric MRI (mpMRI): A 3.0T MRI provides detailed imaging of the prostate to locate tumors without an endorectal coil, acting as a "trousers on" test that can often replace or guide biopsy decisions.
  • Advanced Urine Tests (MyProstateScore 2.0/ExoDx): These tests analyze biomarkers in urine to detect the risk of high-grade prostate cancer, offering high accuracy for men with elevated PSA.
  • 4Kscore Test: A blood test that combines multiple PSA measurements with clinical information to predict the likelihood of aggressive prostate cancer.
  • Standard PSA Blood Test: While not as comprehensive as an MRI, a simple blood test is widely used to screen for elevated prostate-specific antigen levels.
Noninvasive alternative to colonoscopy—
  • Stool DNA Test (Cologuard): An at-home kit that checks for abnormal DNA and blood in stool. Recommended every 3 years for ages 45+.
  • Fecal Immunochemical Test (FIT) / Fecal Occult Blood Test (FOBT): At-home tests detecting hidden blood in the stool. These are generally done annually.
  • Virtual Colonoscopy (CT Colonography): A, specialized, low-dose CT scan that takes 3D images of the colon without sedation or a scope, usually done every 5 years.
  • Blood-Based Tests (e.g., Shield): A newer, blood-based screening option that can be done during routine blood work, requiring no prep or stool collection.
So unaona waliogundua colonoscopy ni wajinga. We rukaruka tumekaa pale
 
Sharing is caring.
Kawaida nina kg 86, kuna mwaka nilianza kupata dalili za ajabu ila kila nikipima hakuna changamoto kubwa ya kutisha.
Sikua najisikia fresh sana ila nikabidi niendelee na life langu la kawaida. Changamoto za afya nikachukulia kama sehem ya maisha maana nilipima vitu vingi hadi muhimbili pia wakasema niko shega.

Nikaendelea zangu kula monde.
Bana bana siku ya siku si “pakanza kuchangamka” kila ninavyokula ndivyo ninakonda. Ndani ya miez 4 nimekata kg20, miezi 6 kg 30+.

Anasema ulaya kuna uduma bora kuliko africa, ajitafakari. Ulaya ujuaji mwingi na hawataki kushauriwa.

Tuendelee na mada, wacha waangaike ct-scan, Mri, endoscopy, ERCP, EUS, ultra sounds n.k

Case ikawashinda wakaamua wanilaze hapo nimebaki mfupa na ngozi ile watu wakikuona wanakushangaa bado kidogo jicho litoke na meno. Siumwi kichwa , sina oma ila nimeanza sasa ku experience lack of vitamins na hawaelew sababu ni nini, wengine, hapo ni kubahatisha sasa, sukari hakuna, pancreas nzima ya afya, ini liko swadakta ila macho yameanza kuwa njano na viganja vya mikono, figo ziko fresh.
Ambaye analeta ujuaji anajua upungufu wa vitamins, sio moja
Hapo uta experience vidonda mdomoni, joint zinauma, rangi ya ngozi inabadilika n.k kama unangoma kasoro vipimo havijathibitisha tu.
Ushawahi kula chakula kinatoka kama ulivyokitafuna.

Anyway nimechoka kuandika ila ilifika wakati wa kudumbukizwa camera kila mahali.
Mimi ni nani nikatae😊

Now nina kg 65, niko njema kiliko hata mwanzo ni kama sijawahi kuumwa. Cha kushukuru nilikua mbali na homu.

Omba Mungu akuepushe yasikufike.
Pia uwe na hio pesa ya kupata hivyo vipimo mana sio bei rahisi.

Afya mtaji
 
Asante kwa kushare 🙏

Umesema vyema, omba Mungu yasikukute.
Watu ni wajasiri kuongea kwa sababu bado hawajakumbwa na changamoto kubwa za kiafya.
 
Afadhari umeonesha mfano, hawa wetu kutwa kubwata, wakati hiyo ya kumezeshwa camera hawana. Lol
 
usingizi wa kupenda au kuchomwa sindano, labda nusu kaputi
Unachomwa sindano, ni sedation unalala tu ila unakua unaweza kupumua mwenyewe, dawa inaitwa propofol.

We sema umependa hivyo vipimo wacha kurukaruka
Happy X Factor GIF by X Factor Global (1).gif
 
Back
Top Bottom