Ndiyo maana yakeKwahiyo kupitia wanaume wenzako wanaofanyiwa hivi vipimo ni sawa na mmefanyiwa wote? au utaleta double standard.
Hayo tuyaache ingawa jambo hilo nililisikia kutoka kwa binti mmoja mwana JF akisimulia jinsi alivyokuwa anamfinga jamaa ili akojoe. Na huyo jamaa alikuwa mpinzani na sasa namuona anapiga jaramba huko CCM.Nilisoma mahali kwamba kuna wanaume wengine wanaenjoy kuwekewa kidole huko na wake zao wakati wanawadinya - Ni kweli huwezi jua yanayoendelea kwenye kwenye faragha za watu.
Mwanaume kuingizwa kidole awe daktari au nani, ni kudhalilisha ukoo mzima. Hadhi ya mwanaume ni kutoingizwa kitu maana sie tumeumbwa kuingiza na nyie mmeumbwa kuingizwa na kupokea. Sioni shida mwanaume kwa makubaliano na mpenzi wake kumfaidi D2 (na siamini kuna mwanaume mtu mzima hajawahi kuonja D2 ya mwanamke - Siri za Vyumbani), hayo ni mambo ya wawili. Nina uhakika hata wewe mtu akikupima huna marinda, ila haiondoi hadhi yako maana umeumbwa kuingizwa. Ila Dume, ni mkosi kwa ukoo mzima