Pamoja na kwamba ni kidole hawataki, pengine wajaribu ngumiKiongozi, unataka uingiziwe ngumi?
Ndugu yangu, mimi nina personal experience na nilimweleza daktari kuwa wanaume wa kiafrika huwa hawaruhusu mtu kuingiza kidole huko kwa chinova.Sasa unafikiri rectal probe ya ultrasound na kidole bora nini?!
Uzuri hayo yote yanafanyika kwa faida ya mgonjwa.
Kikubwa ni kuomba mungu akuepushe na maradhi, ila ukitingwa, hicho kidole wewe ndio utakililia ili upate suluhisho la tatizo lako.
Kwahiyo yule kiongozi mkubwa aliyefanyiwaga vipimo na baadae upasuaji wa tezi dume mpaka sasa anatamni kuingiziwa kidole cha daktari mara kwa mara?Wanasena Marinda ya kishapitishwa ndole la dokta basi, Utatamani afanye kipimo kila siku. Vidonge iwe njia mbadala kwa kweli.
😹😹😹 Tupashe viporo tena?Duh......! Alikukosea kitu gani? Bado anaangalia status zako? So wote hamja-move on. Muanzishe uataratibu wa kupasha viporo, your current spouses are in deep shit.
😹😹😹 Tupashe viporo tena?
Mimi najali afya yake, tume move on lakini sisi sio maadui hivyo kipimo kitamuhusu hata kwa kuvutwa na kamba..!! 😹🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Hawajaumwa hao ndugu zako. Wakiumwa wataingiziwa sio kidole tu hata mkono mzima huko nyuma na watabong'oa wenyewe
Huu uongo huwa mnajazana huko vijiweni kwenu na sio uhalisia.Ukizoea sana kupitisha vitu kwenda ndani kupitia ****** au niseme ukizoea hayo mavipimo ya kuingizwa vipimo mkunduni mara kwa mara, wewe utafika muda suala la kufirwa utaona sio kitu cha ajabu yaan ni njia ya kuelekea kufirwa ndio maana wengi wanakataa sababu hio sehemu ni very delicate sana ukizoea hio michezo ya kuingiza mavipimo mkunduni mara kwa mara mwisho utaanza kutamani kufirwa, itoshe tu kusema hivyo
Huyo nae ni Dr tena MD? bas udaktari umeingiliwa.Kwahio walitaka kumuwekea kilainisha(KY)🤣🤣 kuna mshkaji wa kitaa alikwenda somea udaktari(MD) sasa wakati yupo Intern aliwepo Muhimbili. Alisema yeye na wenziwe ilikuwa tabia yao kuwatia vidole vya nyuma wagonjwa kwa makusudi hata kama mgonjwa hahitaji kufanyiwa hivyo🤣🤣
Ushaelewa sasa utapigwa madole ukichekelea utapigwa na mtinyanyaHuyo nae ni Dr tena MD? bas udaktari umeingiliwa.
Lol
😂😂😂Huo ugonjwa umpate ex wangu lazima kipimo kifanyike iwe anataka au hataki ATAPIMWA 😹😹😹
Namkodia mabaunsa wa kumkamata na kumshika hamna kupewa nusu kaputi, ashuhudie kipimo kikiwa kinafanywa shenzy zake..!! 🤣😹😹
😂😂😂😂😂 mbona kukililia kidoleee.Sasa unafikiri rectal probe ya ultrasound na kidole bora nini?!
Uzuri hayo yote yanafanyika kwa faida ya mgonjwa.
Kikubwa ni kuomba mungu akuepushe na maradhi, ila ukitingwa, hicho kidole wewe ndio utakililia ili upate suluhisho la tatizo lako.
Sasa inahusu nini na mashoga hii mada??Ndugu yangu, mimi nina personal experience na nilimweleza daktari kuwa wanaume wa kiafrika huwa hawaruhusu mtu kuingiza kidole huko kwa chinova.
Turudi katika suala lako, Nakubaliana na wewe kuwa kama ndiyo njia pekee. Ila Ukweli si kuwa ni njia pekee. Hii ni njia ya kizamani ila ni unyanyasaji wa wanaume. Imagine daktari anakuamrisha inama. Si sawa wakati kuna hiyo ultrasound, unapima PSA katika damu etc, kidole cha nini?
Akinamama huwa wanafurahi sie waume zao tukinyanyaswa ndo maana mleta mada anashadidia kWa vile sisi huwa tunawaingiza huko madushe. Ni kisasi tu. Ndiyo maana wanawake wanawapenda mashoga, si kuwa wanafurahia wafanyavyo ila ni kuwa wanatukomoa, kuwa na wenzenu nao chamoto wanakipata
Ni uongoooo!! Hakuna kitu km hicho.Ushaelewa sasa utapigwa madole ukichekelea utapigwa na mtinyanya
Umeelewa mada, au wee unazungumza kitu kingine tofauti?Wewe unapitishaga nini mkunduni?