Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Niletee jogoo mwekunduApiaa!
Niletee jogoo mwekunduApiaa!
Huwa nafanya hivyo kwenye mada mbalimbali kwa point nilizopenda! Sio kwako tuulengo ni nini?
sawa! Ahsante kwa kuliweka sawa.Huwa na fan ya hivyo kwenye mada mbalimbali kwa point nilizopenda! Sio kwako tuu
Mmmh hiyo siijui, najua laxatives za kunywaVP na Ile tiba ya kuwekewa dawa mkun.... afu unaenda kuharisha
Tezi dume, tafuta video ya JK akiulezea, aliwahi kuugua akatibiwa.Me naomba kuuliza tu kama kuna ugonjwa unaitwaje na nini kinasababisha uupate
Ili nipambane kuuepuka mapema
Hapo kwenye watu wengine, ndiyo panawapa wale wanaokataa ugumuUnakuwa wako ukiwa mzima wa afya. Ila kwenye hali ya maradhi unakuwa wa watu na sio wako tena.
Ni huzuni kwa kweli.Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
View attachment 3552474
- Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).
View attachment 3552451
- Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Tubadilishane uzoefu:
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
- Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
- Wale ambao hamko tayari, sababu zeni ni zipi?
- Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
- Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Cc:
Shyshka Reinhardt
Nitatafuta mkuuTezi dume, tafuta video ya JK akiulezea, aliwahi kuugua akatibiwa.
Bawasiri pia.
Kwanza sikiliza kwa makini,prostate siku hizi haipimwi kwa kuingiza kidole njia ya haja kubwa (palpation)Zipo njia nyingi tu,lakini vipo vipimo huwezi kuepuka na utaingiziwa mtambo mdogo,mfano unapimwa colonoscopy utafanyaje? na huwezi kukataa.Huu ni uzi usio na maana yoyote ile.Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
View attachment 3552474
- Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).
View attachment 3552451
- Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Tubadilishane uzoefu:
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
- Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
- Wale ambao hamko tayari, sababu zeni ni zipi?
- Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
- Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Cc:
Shyshka Reinhardt
Sawa nimekuelewa nduguNdiyo, manake hata kama watapitisha nikiwa usingizini tayari utu na uanaume wangu watakuwa wamenivua. kitu ambacho huwa sitaki.
NakusikilizaKwanza sikiliza kwa makini,
Njia gani nyingine unazifahamu?prostate siku hizi haipimwi kwa kuingiza kidole njia ya haja kubwa (palpation)Zipo njia nyingi tu,
Kama hutaki kidole basi utaingiziwa prope ya kuscan ila nayo itapitia hapo hapo kwenye anuslakini vipo vipimo huwezi kuepuka na utaingiziwa mtambo mdogo,
Kama umesoma uzi wote, basi umeona nimesema mdogo wangu amekataa colonoscopy, inawezekana mtu kukataa, hospitali hawawezi kukulazimisha?mfano unapimwa colonoscopy utafanyaje? na huwezi kukataa.
Kwanini umeuchangia uzi usio na maana?Huu ni uzi usio na maana yoyote ile.
Nimeuchangia kuuelezea jinsi ambavyo hauna maana,vipimo muhimu kwa ajili ya afya huwezi kukataa,na kuleta nyuzi ambazo hazisaidii kitu,zinashawishi watu kufanya maamuzi mabaya,hazifai.Ama njia nyingine siku hizi kupima prostate kunafanya kwa utrasoundNakusikiliza
Njia gani nyingine unazifahamu?
Kama hutaki kidole basi utaingiziwa prope ya kuscan ila nayo itapitia hapo hapo kwenye anus
Kama umesoma uzi wote, basi umeona nimesema mdogo wangu amekataa colonoscopy, inawezekana mtu kukataa, hospitali hawawezi kukulazimisha?
Kwanini umeuchangia uzi usio na maana?
Acha kudanganya kuhusu prostate check. Unatumia ultrasound kujua volume au PSA. Why kwenye dunia ya sasa muwekane vidole. Mbona kusaga prostate inapitishwa katika mrija wa uume.Hapana, si ugonjwa unaofanana.
Wa kwanza ni checkup, kuna umri ukifika wanaume mnashauriwa mfanya uchunguzi wa kansa ya tezi dume (prostate cancer) huo uchunguzi ndiyo unafanywa hivyo.
Huyu mwingine, ilidhaniwa anaweza kua na uvimbe au shida kwenye utumbo mpana (colon).
Duuh, bora ufe kuliko wapitishe kitu huko.
Ni uchaguzi tu kati ya kuishi na maumivu makali au kudhalilika na kuponakuna vitu ambavyo hutakiwi kabisa kuvifanya ukiwa hapa duniani. Moja ya vitu hivyo ni kipimo hicho.
Hiyo Ultra sound probe inapitishwa wapi?Acha kudanganya kuhusu prostate check. Unatumia ultrasound kujua volume au PSA.
Kaulize wenye dhamana hiyo huko wizarani, kwanini DRE bado inatumika mahospitalini.Why kwenye dunia ya sasa muwekane vidole. Mbona kusaga prostate inapitishwa katika mrija wa uume.
Kwani ni lazima kuingizwa kidole tu? vipi kuhusu ngumi?Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
View attachment 3552474
- Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).
View attachment 3552451
- Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Tubadilishane uzoefu:
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
- Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
- Wale ambao hamko tayari, sababu zenu ni zipi?
- Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
- Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Cc:
Shyshka Reinhardt