Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Umeshawahi kuniona nimeleta mada ya mataukoour humu?
Nasemea kuhusu hilo la kuguswa hazina ya mwanaume sio rahisiUmeshawahi kuniona nimeleta mada ya mataukoour humu? au unaongelea nini?
Umeshawahi kuniona nimeleta mada ya mataukoour humu?
Nasemea kuhusu hilo la kuguswa hazina ya mwanaume sio rahisiUmeshawahi kuniona nimeleta mada ya mataukoour humu? au unaongelea nini?
Yeah nakumbuka bwasheeIlinitokea hii, baada ya vipimo vingi sana dokta akashauri nipimwe kwa njia ya mknd, sikurudi tena, nilikimbia kama mwizi. Nashukuru tu tumbo nalo likapona bila dawa, nilijua huenda ni kansa, hata watu wa karibu walihisi ilikuwa kansa. Ila nilijipa matumaini as niliumwa miaka mingi, toka mwanzoni mwa 2000 hadi 2016 ndio maumivu yakapotea.
min -me kama unakumbuka tuliwahi kudebate hii kitu.
Asa wakishashika hiyo prostate gland na ndo mnasemaga g spot ya mwanaume ipo huko huoni utataka uwe unaingiziwa Kila sikuHii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
View attachment 3552474
- Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).
View attachment 3552451
- Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Tubadilishane uzoefu:
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
- Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
- Wale ambao hamko tayari, sababu zeni ni zipi?
- Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
- Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Apiaa!Kweli vile au niapie kwa mzimu wa kilingeni?
Hata Kwa wanawake ngumu???, Kuna ugumu Gani Kwa wanawake akati ninyi ndo wa kuchomekwa Kila mara mshazoea kuchomekwa chomekwa.Mmh!! Hii ngumu jamani.....
Kila mmoja atapigwa dole Kwa wakati wake daaahhhWala hakuna mjadala siku ukiumwa vizuri utakuja binukia kipimo tu mwenyewe kiroho safiView attachment 3552478
Au umeshawwka vitu mangiii?🤣Yeah nakumbuka bwashee
No nipo kazini mkuuAu umeshawwka vitu mangiii?🤣
Kwahiyo ukiamka hutojua wamefanya nini Tena???? Hii mbona ndo hatari zaidiNa wangu kakataa, tuwaombee tu wabaki salama.
Wanakuchoma sindano unalala, wala ukiamka hutojua wamefanya nini, shida ni kwamba kabla ya kulala, tayari unakua ushajua watakachokufanya 😂😂.
Mkuu, hiki ni tofauti na bawasiri?Soma hii
Thread 'Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa' Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa
Mjegejo unamaanisha nini mbona unatisha watuKidole tu😂 sasa si tiba, mbona watunwanawekewa dawa na mganga kwa kutumia mjegejo🤭
Ukibanwa vizuri utasema tu.Ilinitokea hii, baada ya vipimo vingi sana dokta akashauri nipimwe kwa njia ya mknd, sikurudi tena, nilikimbia kama mwizi. Nashukuru tu tumbo nalo likapona bila dawa, nilijua huenda ni kansa, hata watu wa karibu walihisi ilikuwa kansa. Ila nilijipa matumaini as niliumwa miaka mingi, toka mwanzoni mwa 2000 hadi 2016 ndio maumivu yakapotea.
min -me kama unakumbuka tuliwahi kudebate hii kitu.
Prostate Specific Antigen pekee haitoshi lazima na digital rectal examination ihusike.Kuna namna nyingine ya kupima prostate. Damu inachukuliwa kwenye mshipa wa mkono wanaipima kuona kuwango cha PSA
Njia rahisi ya uhakika ni vipimo kama hivyo, kansa haina kinga ni kuiwahi tuu kabla ya stage 3 kwa hivyo vipimo, ukichelewa haitibiki
Wewe jamaa kiazi sana.Hat
Hata Kwa wanawake ngumu???, Kuna ugumu Gani Kwa wanawake akati ninyi ndo wa kuchomekwa Kila mara mshazoea kuchomekwa chomekwa.