Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
SIJAWAHINdio huenda wateja wakajifunza jambo😅
SIJAWAHINdio huenda wateja wakajifunza jambo😅
Kwamba napenda sana nini 🤓?Nje ya mada: Mtoa mada atakuwa ni mtu anapenda sana "kupimwa oil". 😁
Hahah daah, prostate inatokea maeneo ya usawa wa nyonga sasa mdomoni mkuu kipimo hakiwezi pita eneo la ileum na colon utakufa 😃kwanini hicho kipimo wasikipitishe kwenye oral route?
Wewe tena 😂 😂 haya tutajie na faida nyingine tujifunze.Hayo yote Mm nna yajua ndo mana tangu nikiwa tumboni mwa mama yangu nilikuwa napiga nyeto.
Nyeto ina faida tele kuzidi hasara.
Inaitwa EnemaVP na Ile tiba ya kuwekewa dawa mkun.... afu unaenda kuharisha
Hakika sitafanyiwa hivyo. Labda popoma Genta anaweza.secretarybird unaulizwa huku jibu swali
Bora tukawasaidie wairan na waisraelhapana, kufa kupo tu bora nife
HAPANAAnasema kupimwa Oil chafu yaan ushaelewa km kupigwa hivyo vipimo mkunduni sasa wewe unatumia kipimo cha kuingiza mti nyama
KabisaBora tukawasaidie wairan na waisrael
Ahh babu sema ukwelii🙃SIJAWAHI
Chaguo ni lipiChaguo lipo
Umeshawahi kuniona nimeleta mada ya mataukoour humu? au unaongelea nini?Mbona mada za miku**du JF zimekua nyingi mtoa mada kuna pensheni unachukua kutoka njee
Ila hii ni hazina haiguswi
AiseeUkizoea sana kupitisha vitu kwenda ndani kupitia ****** au niseme ukizoea hayo mavipimo ya kuingizwa vipimo mkunduni mara kwa mara, wewe utafika muda suala la kufirwa utaona sio kitu cha ajabu yaan ni njia ya kuelekea kufirwa ndio maana wengi wanakataa sababu hio sehemu ni very delicate sana ukizoea hio michezo ya kuingiza mavipimo mkunduni mara kwa mara mwisho utaanza kutamani kufirwa, itoshe tu kusema hivyo
Kuna namna nyingine ya kupima prostate. Damu inachukuliwa kwenye mshipa wa mkono wanaipima kuona kiwango cha PSAHakuna tundu jingine la kufikia prostate yako na utumbo mpana.
Kwahiyo wewe bora ufe?
Kweli vile au niapie kwa mzimu wa kilingeni?Ahh babu sema ukwelii🙃
Chai.Kwahio walitaka kumuwekea kilainisha(KY)🤣🤣 kuna mshkaji wa kitaa alikwenda somea udaktari(MD) sasa wakati yupo Intern aliwepo Muhimbili. Alisema yeye na wenziwe ilikuwa tabia yao kuwatia vidole vya nyuma wagonjwa kwa makusudi hata kama mgonjwa hahitaji kufanyiwa hivyo🤣🤣