Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hvi uganga unaweza somea wtKidole tuš sasa si tiba, mbona watu huwa wanawekewa dawa na mganga kwa kutumia mjegejoš¤
Hvi uganga unaweza somea wtKidole tuš sasa si tiba, mbona watu huwa wanawekewa dawa na mganga kwa kutumia mjegejoš¤
Nini uongo?Ni uongoooo!! Hakuna kitu km hicho.
Watu wanakaa kozi miaka mitano tena boarding! Ohoo..Hvi uganga unaweza somea wt
Wanawekewa mkunduni? Wewe umewahi kuwekewa?
Jibu lake sasa utasikia anajibu ndio nimewahi tena ulikua mjegejo mkubwa huko Tabora
Duh!Hii ni mada sensitive kidogo, ila naomba kupata mitazamo ya watu wengine kwenye hili jambo.
Nina family members wangu wawili wa kiume, wamekataa kufanyiwa vipimo hivi vya afya, mmoja kwenye utumbo mpana na mwingine checkup ya prostate na sababu yao ni moja tu: hawataki kitu chochote kiingie huko kwenye anus / rectum.
View attachment 3552474
- Last year, ba mjengo alikataa kufanyiwa voluntary prostate checkup (uchunguzi wa hiari wa tezi dume), kwa sababu inabidi uingiziwe kidole na daktari kupitia njia ya haja kubwa (mkun*uni).
View attachment 3552451
- Juzi mdogo wangu wa kiume, alipata shida kidogo ya tumbo, akafanyiwa vipimo vya damu na vinginevyo akaonekana yuko sawa. Daktari akashauri afanyiwe uchunguzi kwenye utumbo mpana kwa kipimo cha colonoscopy, alivyoelezewa kinafanyikaje, akakataa kabisa. Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Tubadilishane uzoefu:
Natanguliza shukrani, Alamsiki!
- Wewe ikikutokea imebidi ufanye kipimo cha aina hii utakubali?
- Wale ambao hamko tayari, sababu zenu ni zipi?
- Na je, hali ikiwa mbaya utakubali au ni bora ufe kwa ugonjwa kuliko kufanyiwa kipimo cha aina hiyo?
- Kama yupo ambaye ameshawahi kufanyiwa, naomba atupe uzoefu wake, ilikuwaje?
Cc:
Shyshka Reinhardt
Hio emoji imekaa kikorofi sana
MxxxiiiiieeeewWewe jibu swali langu hua unapitisha nini mkunduni?
Ndiyo inakuwaje kuwaje hiyo š¤ššLabdaa kwa AI
Kuna amabo wamesema humu kwamba wako tayari kufa kuliko kuingiziwa kidoleUkimwa hutaogopa kuingiziwa kidole mkuu
Ikinilazimu, kuliko kufa kwa mateso, nitakubaliHapana ila nataka maoni ya watu wazima zaidi
Kwanza wewe unakubali?
Pamoja na kwamba ni kidole bado hawataki pengine wajaribu ngumi
Na wewe huwa unaingiza dudu lako huko kwenye njia ya mauviiirrr š³ š³ ?Akinamama huwa wanafurahi sie waume zao tukinyanyaswa ndo maana mleta mada anashadidia kWa vile sisi huwa tunawaingiza huko madushe.
Nataka niwe mganga alafu hiyo dawa ya kumweka mtu udyudyu ndo nataka niwe naitumiaWatu wanakaa kozi miaka mitano tena boarding! Ohoo..
Sasa shida iko wapi hapo? Au ugumu wake nini??
Swali ni je ukitoka hapo bado utasema hujawahi filwa?
Umesema vyema, mwenye kusikia na asikie.Yeyote anayesema hawezi kufanyiwa colonoscopy sababu hajaumwa ila ukiumwa vizuri haikwepeki. Na gharama zake sio ndogo.
Kwenye maradhi hakuna uanaume ni jambo la wakati.
Usichonge sana ngenga ukajiona mgumu sababu hujafika wakati wako wa kuumwa.
Muombe Mungu akuepushe yasikukute.
Duh!
Mrembo nawe kwa kuleta mada za kufikirisha kweli haujambo!
Why?Kiukweli sitaki tube, kidole au kitu chochote kiingie kwenye my an.s!
Ugonjwa ukikushika vizuri, utaomba kipimo mwenyewe!!Ila AGAIN uko right! Hicho ndicho kipimo SAHIHI!
š¤£šš š
Mimi hapana ila wenzangu wakifanya ni sawa tumefanya wote.Na wewe huwa unaingiza dudu lako huko kwenye njia ya mauviiirrr š³ š³ ?
View attachment 3554802
Kwahiyo kupitia wanaume wenzako wanaofanyiwa hivi vipimo ni sawa na mmefanyiwa wote? au utaleta double standard.Mimi hapana ila wenzangu wakifanya ni sawa tumefanya wote.
Nilisoma mahali kwamba kuna wanaume wengine wanaenjoy kuwekewa kidole huko na wake zao wakati wanawadinya - Ni kweli huwezi jua yanayoendelea kwenye kwenye faragha za watu.Huwezi kujua mwanaume na mwanamke wanafanya nini wakiwa katika chumba chenye kuta nne. Na wakati mwingine, ni mwanamke aliye dereva wa kuonesha njia ni wapi dushe lipite. Kwa mwanaume huwezi jua kama ni D2 au D1.