Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Dada yangu, vipi shemeji yangu angekubali?Mmh!! Hii ngumu jamani.....
Mwenzangu asingekubali!Dada yangu, vipi shemeji yangu angekubali?
Na wewe mwenyewe je?
😀😀😀😀
Kwangu mimi hii kitu staki hata kuiskia na bora nife tu na huo ugonjwa.😂Kwa nini ndugu zako wanasumbuliwa na ugonjwa unaofanana? Halafu vipimo vyake mpaka upitishiwe mlija mkund:ni? Au una agenda nyingine tofauti na ya vipimo? Kwangu mimi hii kitu staki hata kuiskia na bora nife tu na huo ugonjwa.
I'd rather die with my dignity than live with the remorse of having been molested by some Doctor's finger.Hakuna tundu jingine la kufikia prostate yako na utumbo mpana.
Kwahiyo wewe bora ufe?
KabisaKwangu mimi hii kitu staki hata kuiskia na bora nife tu na huo ugonjwa.😂