Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

Mwanambee

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
244
Reaction score
332
Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya pande zote mbili.

JPM alikuwa mwadilifu, mwenye kujiamini , msema kweli, mwenye akili kubwa, mwenye maonao, jasiri kwelikweli, mwanasiasa asiyependa siasa za propaganda na Mchapakazi, sifa hizi nzuri na nyingine nyingi alizokuwa nazo ni nani asiyezikubali? kama zile conspiracy za JK kuwa alikuwa anaenda south kula bata usiku asubuhi yuko ikulu Kwa karba ya JPM alitengenezewa conspiracy theory zinazoendana nae pia kama kumuu mwandishi wa habari 😳😳

Anyway to cut a long story short
uko tayari kugharamia shilingi ngapi kama tozo tu ya kuona kaburi la huyu Mwamba achiliambali gharama za nauli na nyinginezo
Mimi naamini ikitokea kaburi la JPM likafunguliwa kwa umma kwenda kulitazama kwa tozo ya Tsh. 10,000 tu mapato yatakayopatikana yanaweza fikia pato la mikoa kama Rukwa🤣🤣🤣 au nasema uongo ndugu zangu?

 
Wapo wanaofanya hiyo kazi niamini wanaifanya vizuri kweli kuliko tunaofanya kazi ya kueleza Mazuri yake maana mazuri yanajieleza yenyewe kwa asilimia kubwa sana
Weka wewe mabaya tuamue tukahiji au tusiende hija chato
 
Mimi nimepanga mwaka ujao niende kuona tu kaburi lake
 
Mkuu uadilifu wa Magufuli ni upi??Tanzania Kiongozi aliyekuwa Mwadilifu kwa kauli na vitendo ni Nyerere&Sokoine tu.
Magufuli alikuwa fisadi kama akina Mkapa,Kikwete na Lowassa.
Toa ushahidi kwamba Nyerere na Sokoine walikuwa wasafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…