Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Umefanya hiyo sensa lini?huwezi amini wakiruhusu 3/4 ya watanzania wataenda chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya hiyo sensa lini?huwezi amini wakiruhusu 3/4 ya watanzania wataenda chato
Labda machingahuwezi amini wakiruhusu 3/4 ya watanzania wataenda chato
Hizo za kubumba hatuzitaki humu!!Unaamini takwimu hupatikana kwa njia ya sensa pekee?
Kama unaza kweli weka hapa kubatilishaHizo za kubumba hatuzitaki humu!!
Brainwashed stereotype!Wengi wenu msiompenda Magufuli mtakuwa vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wadhulumaji, magaidi, wavivu, wapiga madili
Mihemko ya ajabu tu unaweza kuta ni nyege tu ndio zinamfanya awe hivyoNaomba Fikra za huyu Manzi ziheshimiwe wazee mwenye Manzi ake atajua cha kumfanya
Akili yako haina akili sorry bro.Wengi wenu msiompenda Magufuli mtakuwa vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wadhulumaji, magaidi, wavivu, wapiga madili
Never say never hapoo maana yake umekubali utaendaEven free I never never ever