Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

Wewe mwenyewe hapo kaburi la wazazi wako au ndugu zako waliotangulia mbele za haki mara ya mwisho ni lini ulienda hata kulisafisha na kufanya dua??
 
Annually, Mara ya mwisho Disemba 2020
 
Wewe mwenyewe hapo kaburi la wazazi wako au ndugu zako waliotangulia mbele za haki mara ya mwisho ni lini ulienda hata kulisafisha na kufanya dua??
Annually, Mara ya mwisho Disemba 2020
 
Hapa mnajadili ujinga,hamishia himada jukwaa la mazuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…