Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

Ndio maana Mungu akam terminate mapema, Huu ujinga ndio alichokuwa anandaa
 
Hilo kaburi nikienda usiku sitalala nitaota watu wanataka kuniua.sithubutu kukanyaga hapo mimi
 

Mxiew Kwa lipi kwa Mfano [emoji34] hiyo hela si bora nikasaidie Yatima wanaoteseka
B
 
Hayati John Pombe Magufuli ni mbuyu ulioanguka. Yote aliyoyafanya katika uhai wake yawe mazuri au mabaya yanapigiwa mfano na wote waliowahi kuwepo kwenye utawala wake.

Binafsi nisingeshauri kuweka tozo kwa mtu anayependa kwenda kuzuru kaburi lake, yule anayejisikia kutoa pesa basi iwe kama sadaka, naamini watanzania wengi wakiwa Chato watapenda kwenda angalau kuliona kaburi lake.

Mara ya mwisho nikiwa Chato sikuruhusiwa kufika lilipo kaburi lake Ila nilipewa maelekezo kuwa kuna utaratibu utakaowekwa wa kulifikia kaburi la mwamba huyu na litaratibiwa na ofisi ya mkuu wa wilaya. Naamini utatumika utaratibu wa kutoa vibali, nashauri kibali kiwe kati ya shillings 2000 na 5000.
 
Afadhali nimepata mwanga kuhusu namna ya kufikia ili kukuona kaburi lake
 
Kilichofutikwa chini ni uvundo
 
 
wezi wakikusikia, i see vaa barakoala yako na kujitengenezea na helmet! Maana siyo kwa povu na mawe hao yatakayofulumishwa pande zako mkuu!
 
wezi wakikusikia, i see vaa barakoala yako na kujitengenezea na helmet! Maana siyo kwa povu na mawe hao yatakayofulumishwa pande zako mkuu!
Usijali mkuu na mimi ni jiwe kwelikweli😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…