Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

Mkuu uadilifu wa Magufuli ni upi??Tanzania Kiongozi aliyekuwa Mwadilifu kwa kauli na vitendo ni Nyerere&Sokoine tu.
Magufuli alikuwa fisadi kama akina Mkapa,Kikwete na Lowassa.
fisadi la kuijengea nchi flyovers, SGR, Mwl. Nyerere HED, terminal 3, melis, ndeges, hospitalis, vifaa tibas, nk, nk, nk, nk, nk...........................!
we mwendawazimu kwelikweli!
 
Huu mwandiko ni wa Mwanaharakati Huru
 
Wengi wenu msiompenda Magufuli mtakuwa vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wadhulumaji, magaidi, wavivu, wapiga madili
Hizo ni hoja maarufu kwa watu wenye uwezo finyu wa kufikiri, na kuishia kutoa majibu mepesi kwenye masuala magumu!!
 
Kaburi la Rais wa Nchi wanaweka rangi nyeusi wanayoitaka wao...
 
Wengi wenu msiompenda Magufuli mtakuwa vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wadhulumaji, magaidi, wavivu, wapiga madili
Ukiona MTU anampenda huyo jua
Ni failure,msukuma,hajui kidhungu,alibebwa kupata cheo,hajaenda jando,anafuga fisi,chatu nk
 
Naomba kujua,je wanaruhusu Kwenda kuona kama tufanyavyo makaburi ya ndugu zetu?

Nisije panda gari nikafika nikaishia kuzuiwa getini kana kwamba nimebeba mihadarati
 
Mwamba, the Legendary huyu jamaa hacheni tu, kwanza sikuwahi kumrahumu, pili sikuwahi kumpa upande wowote na tatu nilikuwa nasubiri amalize hatua zake nizicompare na wengine ndipo nimpe maksi kwa yote good or bad.

Mara nyingi anayetenda mazuri huwa hadumu hasilani kuliko mtenda mabaya, nilichojifunza wengi wa tulio yaona mbaya tunaeleza sababu zisizotugusa in direct self life ila wengi tunapekuwa kwa watu hata wasio na ufahamu juu yao/yetu
 
na nyie mnaomchukia Samia mpo kundi gani
kuna ka mtazamo kuwa wanaompenda Magufuli wanamchukia Samia sijui hata kanatupeleka wapi binafsi (nadhani kuna wengi tu kama mimi) sina chuki kwa Samia so far (namuheshimu kama mkuu wa nchi tu) ila simpendi na kumkubali kama Ninavyomkubali Magufuli
 
Hysee nitaenda sh.10,000/= nitatoa huyu mwamba bado anaishi kwenye mioyo ya watanzania wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…