Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu..

Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae.

Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana.

Sitaki kuwa na mahusiano na mwanamke bila kuwa na future nae lakini imeshindikana.. bado nakutana na wanawake ambao hawana sifa za kuwa mke kwangu lakini najikuta tunaingia kwenye dimbwi la mapenzi nao.

Ni wazuri, wanatamanisha katika macho lakini kuna sifa wanazikosa.

Kinachonipa mawazo ni kwamba nitatoka lini kwenye haya mahusiano fake???

Haya sasa mwanamke anayenizidi miaka kama miwili anaonesha kunitaka na alivyo mzuri wa muonekano naona kabisa naenda kukamatika, jamani nifanye nini kukwepa?? Na huku na mimi Nyege zinanisumbua kupita maelezo.

Hivi kweli nikienda kulala nae nitakuwa nimemtenda Mungu wangu dhambi kubwa isioweza kusameheka??

Namkwepa vipi huyu mwanamke na huku tangu nimemsifia kuwa yeye mzuri kadai namkwepa muda ambao ananihitaji najifanya nipo busy na hajui anayeniweka busy ni nani?

Nitafanya nini mimi 😭😭😭😭😭😭😭
 
Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu..

Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi.
Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae.

Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana.
Kula chuma hicho [emoji2222]
 
Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu..

Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi.
Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae.

Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana.

Sitaki kuwa na mahusiano na mwanamke bila kuwa na future nae lakini imeshindikana.. bado nakutana na wanawake ambao hawana sifa za kuwa mke kwangu lakini najikuta tunaingia kwenye dimbwi la mapenzi nao.

Ni wazuri, wanatamanisha katika macho lakini kuna sifa wanazikosa.

Kinachonipa mawazo ni kwamba nitatoka lini kwenye haya mahusiano fake ???

Haya sasa mwanamke anayenizidi miaka kama miwili anaonesha kunitaka na alivyo mzuri wa muonekano naona kabisa naenda kukamatika, jamani nifanye nini kukwepa ?? na huku na mimi Nyege zinanisumbua kupita maelezo.

Hivi kweli nikienda kulala nae nitakua nimemtenda Mungu wangu dhambi kubwa isioweza kusameheka ??

Namkwepa vip huyu mwanamke na huku tangu nimemsifia kuwa yeye mzuri kadai namkwepa muda ambao ananihitaji najifanya nipo busy na hajui anayeniweka busy ni nani ?

Nitafanya nini mimi 😭😭😭😭😭😭😭
Kama kakupenda mwenyewe mtego huo😀😀
 
Back
Top Bottom