Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwann
Amezidi mno kupretend ( anajikuta Mtume Paul )ilhali kiuhalisia sivyo alivyo. Wewe na Evelyn mko wachangamfu sana kiasi kwamba sidhani kama mnaweza kuendana na mwanaume wa kaliba ya mleta Uzi [emoji1]
 
Kabisa,atapoteana mazima
 
Kabisa,atapoteana mazima
Umpate mwanaume charming halafu wakati Fulani awe serious hasa "akikuweka" aungurume kama dume la Simba, awe shababi haswaa hapo nahisi mtaenda sawa
 
Kabisa...kwangu mwanaume inatakiwa awe mwanaume
 
Back
Top Bottom