Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu..

Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi.
Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae.

Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana.

Sitaki kuwa na mahusiano na mwanamke bila kuwa na future nae lakini imeshindikana.. bado nakutana na wanawake ambao hawana sifa za kuwa mke kwangu lakini najikuta tunaingia kwenye dimbwi la mapenzi nao.

Ni wazuri, wanatamanisha katika macho lakini kuna sifa wanazikosa.

Kinachonipa mawazo ni kwamba nitatoka lini kwenye haya mahusiano fake ???

Haya sasa mwanamke anayenizidi miaka kama miwili anaonesha kunitaka na alivyo mzuri wa muonekano naona kabisa naenda kukamatika, jamani nifanye nini kukwepa ?? na huku na mimi Nyege zinanisumbua kupita maelezo.

Hivi kweli nikienda kulala nae nitakua nimemtenda Mungu wangu dhambi kubwa isioweza kusameheka ??

Namkwepa vip huyu mwanamke na huku tangu nimemsifia kuwa yeye mzuri kadai namkwepa muda ambao ananihitaji najifanya nipo busy na hajui anayeniweka busy ni nani ?

Nitafanya nini mimi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mmmh
 
U-nice guy unakuponza.

Unaonekana ni mtu usiye na maamuzi na misimamo ya kiume. Wanawake Wanapenda kuwa na wanaume wenye sifa za Simba...kumiliki territory,maamuzi,kuwa mfalme.

Bandiko lako linaonyesha wewe ni mlokole na msumbufu,wanwake watakusumbua Sana.

Unatakiwa upate mwanamke mtata Kama To yeye au Evelyn Salt ili utoke kwenye uvulana uwe mwanaume.
 
Unatakiwa upate mwanamke mtata Kama To yeye au Evelyn Salt ili uchangamke.
Aisee bro...mie nyumba haipoi full burudani....kujifanya mtakatifu humu wakati kati pako waz huo ni unafki....mie nawaangalia tu
 
U-nice guy unakuponza.

Unaonekana ni mtu usiye na maamuzi na misimamo ya kiume. Wanawake Wanapenda kuwa na wanaume wenye sifa za Simba...kumiliki territory,maamuzi,kuwa mfalme.

Bandiko lako linaonyesha wewe ni mlokole na msumbufu,wanwake watakusumbua Sana.

Unatakiwa upate mwanamke mtata Kama To yeye au Evelyn Salt ili utoke kwenye uvulana uwe mwanaume.
Hao hawawezi watamuonea sana
 
Aisee bro...mie nyumba haipoi full burudani....kujifanya mtakatifu humu wakati kati lako waz huo ni unafki....mie nawaangalia tu
Huyu mleta mada anafeli big time.

Ana Mapenzi ya ulokole ambayo yamekaa kinafiki fulani hivi kwa anaokuwa nao. Kama anapenda apende ili ayaishi Mapenzi,siyo kuleta u-paulo wakati hawezi kuvumilia kuishi mwenyewe.
 
7oreq4.jpg
 
U-nice guy unakuponza.

Unaonekana ni mtu usiye na maamuzi na misimamo ya kiume. Wanawake Wanapenda kuwa na wanaume wenye sifa za Simba...kumiliki territory,maamuzi,kuwa mfalme.

Bandiko lako linaonyesha wewe ni mlokole na msumbufu,wanwake watakusumbua Sana.

Unatakiwa upate mwanamke mtata Kama To yeye au Evelyn Salt ili utoke kwenye uvulana uwe mwanaume.
Huyu hapana aende tu akaendelee na maombi, nice guys sio watamu kabisa....ni kama chai bila sukari, hapana.
 
Huyu mleta mada anafeli big time.

Ana Mapenzi ya ulokole ambayo yamekaa kinafiki fulani hivi kwa anaokuwa nao. Kama anapenda apende ili ayaishi Mapenzi,siyo kuleta u-paulo wakati hawezi kuvumilia kuishi mwenyewe.
Achana naye...anapenda kuwatumia tu
 
Back
Top Bottom