See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 479
- 1,495
[emoji23] Mimi ndio Nimekuzidi 17 niko pale nakusubiri[emoji1787][emoji1787]Nimekuzidi mingapi kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] Mimi ndio Nimekuzidi 17 niko pale nakusubiri[emoji1787][emoji1787]Nimekuzidi mingapi kwani?
🤣🤣🤣🤣[emoji23] Mimi ndio Nimekuzidi 17 niko pale nakusubiri
Usi'niite Uncle sasa uta haribu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana, kikubwa usiniangushe Kwa bedUsi'niite Uncle sasa uta haribu..
Agiza kinywaji kabisa nakuja kuclear mchuchuHapana, kikubwa usiniangushe Kwa bed
Usiku mwema mkuu...nilale mieAgiza kinywaji kabisa nakuja kuclear mchuchu
Nasoma comments yako kwa majonzi sanaAchana nae mana humpendi. Ungempenda mambo ya umri wala yasingekupa tabu.
MmmhBinafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu..
Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi.
Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae.
Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana.
Sitaki kuwa na mahusiano na mwanamke bila kuwa na future nae lakini imeshindikana.. bado nakutana na wanawake ambao hawana sifa za kuwa mke kwangu lakini najikuta tunaingia kwenye dimbwi la mapenzi nao.
Ni wazuri, wanatamanisha katika macho lakini kuna sifa wanazikosa.
Kinachonipa mawazo ni kwamba nitatoka lini kwenye haya mahusiano fake ???
Haya sasa mwanamke anayenizidi miaka kama miwili anaonesha kunitaka na alivyo mzuri wa muonekano naona kabisa naenda kukamatika, jamani nifanye nini kukwepa ?? na huku na mimi Nyege zinanisumbua kupita maelezo.
Hivi kweli nikienda kulala nae nitakua nimemtenda Mungu wangu dhambi kubwa isioweza kusameheka ??
Namkwepa vip huyu mwanamke na huku tangu nimemsifia kuwa yeye mzuri kadai namkwepa muda ambao ananihitaji najifanya nipo busy na hajui anayeniweka busy ni nani ?
Nitafanya nini mimi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee bro...mie nyumba haipoi full burudani....kujifanya mtakatifu humu wakati kati pako waz huo ni unafki....mie nawaangalia tuU-nice guy unakuponza.
Unaonekana ni mtu usiye na maamuzi na misimamo ya kiume. Wanawake Wanapenda kuwa na wanaume wenye sifa za Simba...kumiliki territory,maamuzi,kuwa mfalme.
Bandiko lako linaonyesha wewe ni mlokole na msumbufu,wanwake watakusumbua Sana.
Unatakiwa upate mwanamke mtata Kama To yeye au Evelyn Salt ili uchangamke.
Hao hawawezi watamuonea sanaU-nice guy unakuponza.
Unaonekana ni mtu usiye na maamuzi na misimamo ya kiume. Wanawake Wanapenda kuwa na wanaume wenye sifa za Simba...kumiliki territory,maamuzi,kuwa mfalme.
Bandiko lako linaonyesha wewe ni mlokole na msumbufu,wanwake watakusumbua Sana.
Unatakiwa upate mwanamke mtata Kama To yeye au Evelyn Salt ili utoke kwenye uvulana uwe mwanaume.
Huyu mleta mada anafeli big time.Aisee bro...mie nyumba haipoi full burudani....kujifanya mtakatifu humu wakati kati lako waz huo ni unafki....mie nawaangalia tu
Huyu hapana aende tu akaendelee na maombi, nice guys sio watamu kabisa....ni kama chai bila sukari, hapana.U-nice guy unakuponza.
Unaonekana ni mtu usiye na maamuzi na misimamo ya kiume. Wanawake Wanapenda kuwa na wanaume wenye sifa za Simba...kumiliki territory,maamuzi,kuwa mfalme.
Bandiko lako linaonyesha wewe ni mlokole na msumbufu,wanwake watakusumbua Sana.
Unatakiwa upate mwanamke mtata Kama To yeye au Evelyn Salt ili utoke kwenye uvulana uwe mwanaume.
Ndiyo vizuri mkuu.Hao hawawezi watamuonea sana
Wanapooza au siyo?Huyu hapana aende tu akaendelee na maombi, nice guys sio watamu kabisa....ni kama chai bila sukari, hapana.
Watu wa hivi wanakuaga hawana changamoto kabisa yani mtu hakupi changamoto, penzi linakua limepooooa masikiniWanapooza au siyo?
Ndiyo umkimbize mchakamchaka ili akili imkae sawa awe mwanaume.
Ungeendelea kumbembeleza. Umri ni namba tu.Nasoma comments yako kwa majonzi sana
Nmekumbuka tu ile sms
"Unajua N...me kwanza n mkubwa kwako"
Ukumbuke ke wa design hiyo hawapatani na akina nice guys, wao wanaridhika na mashababi hata wakikung'utwa mjegeje akili na miili inawakaa sawaNdiyo vizuri mkuu.
Inabidi aonewe ili akili imkae sawa,achangamke. Ana uvulana bado.
Achana naye...anapenda kuwatumia tuHuyu mleta mada anafeli big time.
Ana Mapenzi ya ulokole ambayo yamekaa kinafiki fulani hivi kwa anaokuwa nao. Kama anapenda apende ili ayaishi Mapenzi,siyo kuleta u-paulo wakati hawezi kuvumilia kuishi mwenyewe.