Ukoloni Mamboleo: Media za kenya zaonyesha Live Harusi ya Mjukuu wa Malkia Elizabeth

Nasubiri siku mtoto wa Uhuru, Muhoho Kenyatta harusi yake ikirushwa live na BBC

images
 
Media kuu Za kenya (Citizen,KTN,NTV) zote sinaonyesha harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote ambaye anashugulika na harusi ya wakoloni.
Povu ruksa
Halafu itokee wanaenda kula honey moon Bongo! Hawatalala humu ndani kwa mchambo wangu.
 
First lady wa Kenya huwa anafanana na wazungu!

Wamempa heshima kwa kurusha harusi ya wazungu wenzake
 
Media kuu Za kenya (Citizen,KTN,NTV) zote harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote ambaye anashugulika na harusi ya wakoloni.
Povu ruksa
Mkuu Media za Tanzania hazionyeshi kwasababu ziko nyuma kimaendeleo ,hii harusi ya Price Harry and Meghan Markel takriban nchi zote duniani zinaonyesha LIVE,kumbuka Tanzania ndio nchi ya mwisho dunia wananchi wake kuona TV,Watanganyika wameanza kuona TV mwaka 1987..
 
Mkuu Media za hazionyeshi kwasababu ziko nyuma kimaendeleo Tanzania,hii harusi ya Price Harry and Meghan Markel takriban nchi zote duniani zinaonyesha LIVE,kumbuka Tanzania ndio nchi ya mwisho dunia wananchi wake kuona TV,Watanganyika wameanza kuona TV mwaka 1987..
Baada ya kuiteka nchi ya Zanzibar.
 
Mkuu Media za hazionyeshi kwasababu ziko nyuma kimaendeleo Tanzania,hii harusi ya Price Harry and Meghan Markel takriban nchi zote duniani zinaonyesha LIVE,kumbuka Tanzania ndio nchi ya mwisho dunia wananchi wake kuona TV,Watanganyika wameanza kuona TV mwaka 1987..
Heheheheheheh
 
Haya hii ya runinga tanzania ni kwa nyuzi nyingine ivi karibuni. .Geza hii ni kofi kwa uso jamani.
 
Mkuu Media za hazionyeshi kwasababu ziko nyuma kimaendeleo Tanzania,hii harusi ya Price Harry and Meghan Markel takriban nchi zote duniani zinaonyesha LIVE,kumbuka Tanzania ndio nchi ya mwisho dunia wananchi wake kuona TV,Watanganyika wameanza kuona TV mwaka 1987..
Sina hakika kama unaweza kuuongelea ukoloni mamboleo kwa ufasaha!
 
Hivi mjukuu wa malkia wa wazungu anaitwa nani? Ameoa wapi? Amemuoa nani? Kwanini ameoa?
Mjuu wa wa mailkia ameoa marekani mwanamke aliemuoa ana asili ya kiafrika(African America),mwanamke ameshawahi kuolewa na kuachwa na director wa sinema,..

Kwasababu mwanamke anaeolewa na Harry ana asili ya kiafrika ndio maana harusi imenoga,media zote duniani zinaonyesha harusi hiyo Live,isoikuwa Tanzania🙁,kwasababu hawajui umuhimu wa mwafrika kuonewa na mjukuu wa mfalme wa Uingereza..

farther.jpg

Meghan Markel na baba ake
mother.jpg

Meghan Markel na mama ake
harry.jpeg

Meghan Markel na Harry
 
View attachment 781083
Meghan Markel na baba ake
View attachment 781084
Meghan Markel na mama ake
View attachment 781085
Meghan Markel na Harry
Ha ha ha eti muafrika kuolewa na mjukuu wa mfalme!!
Labda Mfalme Mswati angeoa mjukuu wa malkia ningeelewa
 
Sina hakika kama unaweza kuuongelea ukoloni mamboleo kwa ufasaha!
Sioni ukoloni mambo leo kwa media za Kenya kuonyesha harusi ya Meghan Markel na Harry,ninachoona mimi ni kuwapa uwezo wananchi wa Kenya kujua nini kinaendelea dunia,..Kama media zetu zinawekuntesha harusi ya Ali Kiba, kwanini wasionyeshe mtototo wetu anaingia katika nyumba ambayo haikutegemewa kuwa mtu mwenye asili ya kiafirka naweza kuingia
 
Mjuu wa wa mailkia ameoa marekani mwanamke aliemuoa ana asili ya kiafrika(African America),mwanamke ameshawahi kuolewa na kuachwa na director wa sinema,..

Kwasababu mwanamke anaeolewa na Harry ana asili ya kiafrika ndio maana harusi imenoga,media zote duniani zinaonyesha harusi hiyo Live,isoikuwa Tanzania🙁,kwasababu hawajui umuhimu wa mwafrika kuonewa na mjukuu wa mfalme wa Uingereza..

View attachment 781083
Meghan Markel na baba ake
View attachment 781084
Meghan Markel na mama ake
View attachment 781085
Meghan Markel na Harry
Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..😀😀
 
Back
Top Bottom