chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Ha ha ha eti muafrika kuolewa na mjukuu wa mfalme!!
Labda Mfalme Mswati angeoa mjukuu wa malkia ningeelewa
mama na mtoto,huyu dada kafanana na dada mmmoja nilimuona Pemba kipindi fulani😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha eti muafrika kuolewa na mjukuu wa mfalme!!
Labda Mfalme Mswati angeoa mjukuu wa malkia ningeelewa
Well said walahiNasubiri siku mtoto wa Uhuru, Muhoho Kenyatta harusi yake ikirushwa live na BBC
Kuonesha kwenye TV ndiyo unaonekana kuwa mwafrika?Mjuu wa wa mailkia ameoa marekani mwanamke aliemuoa ana asili ya kiafrika(African America),mwanamke ameshawahi kuolewa na kuachwa na director wa sinema,..
Kwasababu mwanamke anaeolewa na Harry ana asili ya kiafrika ndio maana harusi imenoga,media zote duniani zinaonyesha harusi hiyo Live,isoikuwa Tanzania🙁,kwasababu hawajui umuhimu wa mwafrika kuonewa na mjukuu wa mfalme wa Uingereza..
View attachment 781083
Meghan Markel na baba ake
View attachment 781084
Meghan Markel na mama ake
View attachment 781085
Meghan Markel na Harry
Ndio maana yake mkuu hata Obama anaitwa mweusi,mtu yoyote alichanganya na mtu mweusi hata awe mweupe kama karatasi basi anatambulika mweusi,..."Black is institutionalize"..Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..😀😀
Eeh sasa ndo maswali gani haya ??Hivi mjukuu wa malkia wa wazungu anaitwa nani? Ameoa wapi? Amemuoa nani? Kwanini ameoa?
I like this walahiHa ha ha eti muafrika kuolewa na mjukuu wa mfalme!!
Labda Mfalme Mswati angeoa mjukuu wa malkia ningeelewa
Kwani iliponyeshwa harusi ya Ali Kiba watu wali "gain" nini??Kuonesha kwenye TV ndiyo unaonekana kuwa mwafrika?
Are you stupid or something?
What will you gain kama utaonesha kwenye TV!!?
Poor Kenyans. Mbona wapo waafrika wengi tu wanaolewa na kuoa wazungu wamuoneshi kwenye TV?
Hii inaitwa kujipendekeza na ujinga.
Huyu jamaa nadhani hawajui wazungu. Walipo muweka Obama kuwa rais kuna mambo gani muhimu aliyafanya!? Zaidi ya kuendelea kuwaua waafrika na kumuua Muammar Gaddafi aliyekuwa anapigania Africa Union.Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..😀😀
Ndo maana nkasema huwezi kuuongelea ukoloni mamboleo.Sioni ukoloni mambo leo kwa media za Kenya kuonyesha harusi ya Meghan Markel na Harry,ninachoona mimi ni kuwapa uwezo wananchi wa Kenya kujua nini kinaendelea dunia,..Kama media zetu zinawekuntesha harusi ya Ali Kiba, kwanini wasionyeshe mtototo wetu anaingia katika nyumba ambayo haikutegemewa kuwa mtu mwenye asili ya kiafirka naweza kuingia
UwiiiHivi mjukuu wa malkia wa wazungu anaitwa nani? Ameoa wapi? Amemuoa nani? Kwanini ameoa?
Watanzania ni watumwa wa siasa,sasa siasa imeingiaje hapa!?kuna maisha bila ya siasa, kakaHuyu jamaa nadhani hawajui wazungu. Walipo muweka Obama kuwa rais kuna mambo gani muhimu aliyafanya!? Zaidi ya kuendelea kuwaua waafrika na kumuua Muammar Gaddafi aliyekuwa anapigania Africa Union.
Hao ni mateka alisiaHii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..😀😀
Je, Harusi ya Alikiba Citizen,KTN and NTV walionesha!?Kwali iliponyeshwa harusi ya Ali Kiba watu wali "gain" nini??
Watanzania akili zetu tunazijua wenyewe!Watanzania ni watumwa wa siasa,sasa siasa imeingiaje hapa!?kuna maisaha bila ya siasa, kaka
Kwasababu harusi ya Ali Kiba haina umuhimu wowote,kisiasa,kiuchumi nk,wakenya wajanja,wakenya wanaona mbali sio kama watanzania kila kitu siasa...Je, Harusi ya Alikiba Citizen,KTN and NTV walionesha!?
Huu ni ujinga wa wakenya. Wakenya mnaturudisha nyuma sana katika kulikomboa bara la Africa.
Na pia Tanzania hatumudu gharama za uoneshaji live ndomana hata Bunge Live tumeshindwa kuoneshaMkuu Media za hazionyeshi kwasababu ziko nyuma kimaendeleo Tanzania,hii harusi ya Price Harry and Meghan Markel takriban nchi zote duniani zinaonyesha LIVE,kumbuka Tanzania ndio nchi ya mwisho dunia wananchi wake kuona TV,Watanganyika wameanza kuona TV mwaka 1987..
Hakuna maisha bila siasa kijana. Hata hiyo ndoa ni siasa. Mtoto wa Malkia ni mwanasiasa.Watanzania ni watumwa wa siasa,sasa siasa imeingiaje hapa!?kuna maisaha bila ya siasa, kaka
Inawezekana..,lakini safari na mikutano ya Magufuli inaonyeshwa LIVE,watanzania wamebanwa kimawazo,kweli unafikri Bunge halionyeshi LIVE kwasababu za ghrama,..Na pia Tanzania hatumudu gharama za uoneshaji live ndomana hata Bunge Live tumeshindwa kuonesha
Royal family marriages are inter families when you traced the family tree of her farther you will notice the connections with the royal family's bloodlines that's why it's not a big deal for them if her mother is not white as long her father is from their bloodlineMjuu wa wa mailkia ameoa marekani mwanamke aliemuoa ana asili ya kiafrika(African America),mwanamke ameshawahi kuolewa na kuachwa na director wa sinema,..
Kwasababu mwanamke anaeolewa na Harry ana asili ya kiafrika ndio maana harusi imenoga,media zote duniani zinaonyesha harusi hiyo Live,isoikuwa Tanzania🙁,kwasababu hawajui umuhimu wa mwafrika kuonewa na mjukuu wa mfalme wa Uingereza..
View attachment 781083
Meghan Markel na baba ake
View attachment 781084
Meghan Markel na mama ake
View attachment 781085
Meghan Markel na Harry