BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
hahahaahhaahhSisi uku tunaoneshwa ziara za Rais tu, ata akigawa mapapai tutaoneshwa live.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaahhaahhSisi uku tunaoneshwa ziara za Rais tu, ata akigawa mapapai tutaoneshwa live.
Sisi uku tunaoneshwa ziara za Rais tu, ata akigawa mapapai tutaoneshwa live.
boss samahani but unajua tv na redio zinaishi kwa advertizement as well as marketing?sasa kama wameoima upepo wakaona viewers wao wnegi watahtaji hili unaachaje kurusha?is all about business mkuuu nothing personalMedia kuu Za kenya (Citizen,KTN,NTV) zote sinaonyesha harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote ambaye anashugulika na harusi ya wakoloni.
Povu ruksa
Ina maanisha kwamba kuna mashabiki wengi kenya na wengine wengi ambao wametekwa kiakili na wakoloni. Thats why it makes business sense to broadcast that event in kenya. We actually agree on this, its business nothing personalboss samahani but unajua tv na redio zinaishi kwa advertizement as well as marketing?sasa kama wameoima upepo wakaona viewers wao wnegi watahtaji hili unaachaje kurusha?is all about business mkuuu nothing personal
Media kuu Za kenya (Citizen,KTN,NTV) zote sinaonyesha harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote ambaye anashugulika na harusi ya wakoloni.
Povu ruksa
Harusi inavutia nani kama hajatekwa akili na wakoloni? Hata ukienda france ungalie france24 tv hakuna hii upuzi huko na wao ni majirani wa EnglandKwanini unaanika upumbavu wako kila kuchao hapa JF!? Nani hajui kila media house inawania ratings na nafasi za kibiashara? Harusi kama hiyo ni kivutio kikubwa cha matangazo ya biashara. Kama huko kwenu mumelalia masikio,endeleeni vivyo hivyo!
Kuna swala la entertainment pia ...watu hawajui tu fursaMjuu wa wa mailkia ameoa marekani mwanamke aliemuoa ana asili ya kiafrika(African America),mwanamke ameshawahi kuolewa na kuachwa na director wa sinema,..
Kwasababu mwanamke anaeolewa na Harry ana asili ya kiafrika ndio maana harusi imenoga,media zote duniani zinaonyesha harusi hiyo Live,isoikuwa Tanzania🙁,kwasababu hawajui umuhimu wa mwafrika kuonewa na mjukuu wa mfalme wa Uingereza..
View attachment 781083
Meghan Markel na baba ake
View attachment 781084
Meghan Markel na mama ake
View attachment 781085
Meghan Markel na Harry
wewe mtanzania hujui maana ya hio harusi ndio maana huelewi mbona ikawekwa live,sio kupenda kwako...lakini mbona uwashwe na pilipili usioila?Media kuu Za kenya (Citizen,KTN,NTV) zote sinaonyesha harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote ambaye anashugulika na harusi ya wakoloni.
Povu ruksa
Tanzania hapendi shobo kama hakuna maslahiHii harusi media za Uganda,Zambia,Botswana,SA,Nigeria,Ghana hadi China wanaleta live....sasa Tanzania ndio Nani akosowe dunia mzima!!!
WaKE siyo washamba na mbumbumbu kiuchumi kama WaTZ - and this is from me (a Tanzanian!).Media kuu Za kenya (Citizen,KTN,NTV) zote sinaonyesha harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote ambaye anashugulika na harusi ya wakoloni.
Povu ruksa
😀😀😀swala gani la kijinga la kuuliza hilo,unajua maana ya takriban(Almost)Kwahiyo hata China, Urusi, nk wanaonesha?
Mkuu katika hili kuna masilahi makubwa sana kwa wafanyabiashara,matangazo tu ya biashara ni maslahi tosha,kwa vile "coverage" kama hii watu wengi wanataangalia,sema tukubali tu Tanzania bado tuko nyuma,watawala wanataka tumuone Magufuli tu kwenye TV,Tanzania na North Korea hazitafautiani sana,hizi nchi ziko sambamba katika kuwabana wananchi wakeTanzania hapendi shobo kama hakuna maslahi
Hivi nyie wajanja mnaenda chooni na kuacha kujisafisha. Hivi kutembea na mbolea kwenye nguo ni ujanja!!?
Wakenya bhana. Wakenya wengi ukiwasogelea wanatoa harufu ya taka choo.
Tanzania inajitambuaMkuu katika hili kuna masilahi makubwa sana kwa wafanyabiashara,matangazo tu ya biashara ni maslahi tosha,kwa vile "coverage" kama hii watu wengi wanataangalia,sema tukubali tu Tanzania bado tuko nyuma,watawala wanataka tumuone Magufuli tu kwenye TV,Tanzania na North Korea hazitafautiani sana,hizi nchi ziko sambamba katika kuwabana wananchi wake
Vitu vingine unacheka tuMedia kuu Za kenya (Citizen,KTN,NTV) zote sinaonyesha harusi hii ya Price Harry and Meghan Markel live. Kwa kweli hapa kenya bado kiakili tumetekwa na wakoloni.
Tanzania hata hakuna yeyote ambaye anashugulika na harusi ya wakoloni.
Povu ruksa
Badala ya kushangaa kwanini hadi leo Uingereza ina military base hapo Kenya, unashangaa TV za Kenya kuonyesha harusi ya royal family!!!!Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..😀😀