Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Je, kunonesha harusi ya mzungu kwenye TV ina maslahi yapi kisiasa, kiuchumi nk?Kwasababu harusi ya Ali Kiba haina umuhimu wowote,kisiasa,kiuchumi nk,wakenya wajanja,wakenya wanaona mbali sio kama watanzania kila kitu siasa...
Mwanzoni ulisema ameoa half cast wa kiafrika ukasema mnajali sana waafrika. So kwanini msioneshe harusi ya Alikiba?
Hivi hujui hao wazungu walikuwa wanawauza Waafrika? Hivi unakumbuka kweli machungu ya MAU MAU?
Babu zenu wakifufuka leo watatoa machozi maana walikufa kwaajili yenu. Sasa hivi mnakenua kenua menu mbele ya wazungu.
Do you think wazungus are your friends?
Utatumiaka kama muwa, utamu ukiisha wanakutena. Taja TV station nyingine Afrika imeoonesha hilo tukio la kitumwa.