Ukoloni mamboleo unaitafuna Kenya

Umeonaeeee
Mkuu mimi najua Nairobi vizuri
Wazungu mkiwaita Tanzania mnawaita wawekezaji lakini wakiwekeza Kenya mnawaita wakaloni
Hao hao wakileta msaada mnawaita wahisani
Wakiuliza msaada wao umetumika vipi mnawaita mabeberu
Ndumilakuwili
 
Mkuu mimi najua Nairobi vizuri
Wazungu mkiwaita Tanzania mnawaita wawekezaji lakini wakiwekeza Kenya mnawaita wakaloni
Hao hao wakileta msaada mnawaita wahisani
Wakiuliza msaada wao umetumika vipi mnawaita mabeberu
Ndumilakuwili
Hakuna msaada utakaoinua taifa. No free lunch allover the world. Tangu tupate uhuru tunapata misaada isiyotusogeza popote. Mataifa yamejaa madeni hata kwa ambao hawajazaliwa.

But Kenya na misaada ni kama uji na mgonjwa. Wakenya
 
Mkuu umewahi kwenda ughaibuni?
Je unajua wa bongo kazi zao huko?
Je wajua wakenya ni wasomi na kila nchi wanafanya kazi smart sana?
Wabongo Sisi huko viwanja ni aibu mpaka kuongea kiswahili ni aibu
 
Mkuu umewahi kwenda ughaibuni?
Je unajua wa bongo kazi zao huko?
Je wajua wakenya ni wasomi na kila nchi wanafanya kazi smart sana?
Wabongo Sisi huko viwanja ni aibu mpaka kuongea kiswahili ni aibu

Wewe ni mjinga kabisa. Wewe juzi juzi tu hujawahi ona mayaya wakikenya waliyotelekezwa mitaani na vitoto vyao huko Syria? Eti kila mkenya!!!?
 
Wewe ni mjinga kabisa. Wewe juzi juzi tu hujawahi ona mayaya wakikenya waliyotelekezwa mitaani na vitoto vyao huko Syria? Eti kila mkenya!!!?
Bro I am Tanzanian who live abroad
Please control your language
Hao mayaya kutoka pwani ya Kenya kule uarabuni wapo kweli na wengine wanatoka Tanga, Zanzibar nk
Lakini ukweli utabaki pale pale Wakenya wengi wao waliopo ughaibuni wanafanya kazi smart kwa sababu ni wasomi na Wabongo wanabangaiza kwa sababu wengi wametoka vijiweni
Kubali ukatae Kenya wametuzidi kila kitu
 
Tanzania ni nchi tajiri naturally but very poor in reality
Mpaka Leo huku kwetu kusini ambako kuna gesi nyingi watoto bado wanasoma chini ya miti.. Maji tunafuata kilometre kadhaa
Shule za secondary haba sana
Wakenya hawana gesi wala madini lakini huduma za jamii wametupita
Kuhusu migomo ni demokrasia Tanzania hatuwezi kugoma hata korosho zetu zikichukuliwa.. Miaka Mingi hakuna nyongeza ya mishahara tukigoma tutafukuzwa kazi na kupewa kesi za uhujumu na kutakatisha fedha
 
India ina watu billion 1.3, wanayo demokrasia na nchi inatawalika vizuri sana.
 
Hakuna kitu kibaya kama kutawaliwa fikra. Kujiona haufai na Wengine ndio bora. Njia zako hazifai na za wengine ndio bora.

Kuitupa historia yako na kuruhusu wengine wakutumie kuiandika kwa namna watakavyo wao na kwa mrengo wao.

Hiyo ni Assimilation...yes, ile ile ya Wafaransa na Makoloni yao.. na kama french colonies, Wenzetu wako waaaay deep hawaoni utofauti..

Be free.. be you in peace. Cheers.
 
eti niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ujafika kenya wewe
 
The most stupid commentary I have read this year, ujinga mtupu, hizi ni stories za abunwasi[emoji23][emoji23]
Kwa sababu hujui maisha yalivyo ndiyo maana unakurupuka tu na kutoa upuuzi usio na maana. Wewe una IQ ndogo sana ya kujiulizwa wewe mwenyewe kwa nini mambo kama haya yanatokea Kenya. Unaijua jinsi Kenya ilivyo wewe au unadakia tu mambo?
 
what do you mean by kazi smart. Wazungu wenyewe wanahangaika na unemployment, wewe mgeni utapataje kazi smart kwa malipo smart? Hao wanafanya zile kazi ambazo wazungu hawazipendi at all, na wakenya wanafanya hizo kazi bila ku negotiate habari za mshahara wala usalama kazini, wacha kuwa cheap labor ugenini, rudini nyumbani mjenge nchi zenu.
 
Ndugu cheap labour ya uingereza tofauti na kazi ya maana bongo
Hakuna mtu anapenda kufanya kazi au kuishi ugenini lakini Hali Ndio inatulazimu
Bongo kuna ndugu zangu wanaelimu ya juu wanafanya kazi lakini kipato kidogo sana wengine hawana kazi kabisa
Wakenya wanafanya kazi nzuri kwa sababu ni wasomi na wanakubalika na hao mnaowaita mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…