Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #61
Huenda una trachoma maana na yenyewe makao yake makuu yako Dodoma Cursed Land
niko Dodoma na sijakutana na mkoma hata mmoja. hao wakoma wapo wapi? au unamaanisha hawa machangudoa wanaofuata wabunge hapa?