Ukomavu wa Freeman Mbowe unashangaza! Pamoja na kushambuliwa na wengi lakini hajawahi kulipa kisasi

Wanaomtuhumu Mbowe ni akina nani na wako wangapi?

Unatuhumu baada ya kushindwa uchaguzi! kwamba kama ungeshinda ingekuwaje?

Huo ni unafiki
 
Unatuhumu baada ya kushindwa uchaguzi! kwamba kama ungeshinda ingekuwaje?
Kwa kweli Msigwa kaonesha utoto sana ktk hilo. Mara baada ya uchaguzi alimtoa pongezi akaoneaha ukomavu wa kisiasa. Siku 2 baadaye akaja na ngonjera za malalamiko. Hii ni Ishara kwamba alishikwa masikio na mnunuzi wa wanasiasa.

Hata hivyo ni busara Mbowe kutogombea uenyekiti mwaka huu. Na msithubutu kusogeza mbele uchaguzi wa mwenyekiti eti ufanyike baada ya uchaguzi mkuu. Itawakaanga vibaya mno kwenye kampeni.

Lkn
 
Nitamshawishi Mbowe agombee natamka wazi kabisa bila kificho
 
Kakomaa kisiasa na anazishinda hisia
Namkubali kwa Hilo

Lakini aangalie uwezekano wa kuachia kiti Cha uenyekiti
 
Kipindi Mbowe anagombea u -Rais, alikuwa anapata kura kidogo sana kuliko hata Lipumba na CUF yake. Sasa sijui ubingwa wa siasa kwenye maziwa makuu kaupatia wapi..?🤣🤣🤣
 
Kipindi Mbowe anagombea u -Rais, alikuwa anapata kura kidogo sana kuliko hata Lipumba na CUF yake. Sasa sijui ubingwa wa siasa kwenye maziwa makuu kaupatia wapi..?🤣🤣🤣
ni mwaka gani? na huyo Lipumba yuko wapi leo?
 
Lakini, hataweza kuja kusema wakati akiwa kwenye kazi ya kulipa kisasi, maana visasi vya wasio na mamlaka makubwa haviwi hadharani.

Na kwa kawaida vigogo walio katika siasa kitambo, majibu yao kwa watu waliowakera huyatoa kwa kutumia 'chawa' wao. Hawajibu wenyewe.

Ova
 
Enzi sinafedha ,nilikuwa mdomo wazi ,kweli
Kwasasa hua napuuzia ila sio usalama wangu

Lakini
Kama unamsema Lisu ,funga mdomo wako
 
Umenikumbiusha Marehemu Chacha Wangwe na Zitto Kabwe! Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…