mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ukiona hivyo maslahi yapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaomtuhumu Mbowe ni akina nani na wako wangapi?Pamoja na mashambulizi makali toka kwa Msigwa, Mbowe yupo kimya.
Wengine wanatafsiri kama kiburi cha umiliki wa chama. Kule nchi za watu ukilaumiwa na wanachama wenzako unajiuzulu, mfano former UK PM, Johnson alijuzulu baada ya kulaumiwa kuwa "alikula bata" wakati wa lockdown ya Corona .
Hata huyu wa sasa, Sunak Jana kaomba radhi kweli kweli baada ya kuikimbia D-Day na kwenda kupiga kampeni.
Kwa kweli Msigwa kaonesha utoto sana ktk hilo. Mara baada ya uchaguzi alimtoa pongezi akaoneaha ukomavu wa kisiasa. Siku 2 baadaye akaja na ngonjera za malalamiko. Hii ni Ishara kwamba alishikwa masikio na mnunuzi wa wanasiasa.Unatuhumu baada ya kushindwa uchaguzi! kwamba kama ungeshinda ingekuwaje?
Nitamshawishi Mbowe agombee natamka wazi kabisa bila kifichoKwa kweli Msigwa kaonesha utoto sana ktk hilo. Mara baada ya uchaguzi alimtoa pongezi akaoneaha ukomavu wa kisiasa. Siku 2 baadaye akaja na ngonjera za malalamiko. Hii ni Ishara kwamba alishikwa masikio na mnunuzi wa wanasiasa.
Hata hivyo ni busara Mbowe kutogombea uenyekiti mwaka huu. Na msithubutu kusogeza mbele uchaguzi wa mwenyekiti eti ufanyike baada ya uchaguzi mkuu. Itawakaanga vibaya mno kwenye kampeni.
Lkn
yapi?Ukiona hivyo maslahi yapo.
Kakomaa kisiasa na anazishinda hisia
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa, Kudhalilishwa na kutukanwa hata Matusi ya nguoni, tena wakati mwingine anatukanwa na watu ambao amewakuza na kuwalea kisiasa na kimaisha, Lakini hakuwahi kuwajibu, Kulipa kisasi wala hata kupambana nao, mara zote amekuwa kama Kaka Mkubwa au kama Mzazi, ambaye anaamini kwamba Mtoto akinyea mkono basi usiukate, chukua maji na sabuni uoshe utatakata tu .
Nikiwa kama Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa kimataifa na Mbobevu wa siasa za Tanzania nimempigia simu Mwamba huyu na kumuuliza kwanini asiitishe Press ili kufafanua Tuhuma na matusi dhidi yake kutoka kona mbalimbali, ambayo inaonekana kama yanamchafua?
Kwanza alinijibu kwa ufupi kwamba NO COMMENT, hapa alilenga kunikatisha niishie hapo na nisiendelee tena kumuuliza chochote kuhusu hilo, lakini nilipombana sana Mwamba huyo alisema kwamba hatojibu hoja ambazo zinahusu, kashfa, Matusi kwake binafsi, na kwa kadri ya kumbukumbu zake matusi na kashfa dhidi yake ni nyingi mno na isingekuwa rahisi kuzijibu na wala hazina tija yoyote, Na kwamba yuko tayari kujibu maswala yote yanayohusu Chadema na mipango yake.
Sasa kwa vile hoja zangu zilihusu Mashambulizi anayoyapata yeye binafsi, na wala haikuwa masuala ya Chadema kama Chama ikabidi niishie hapo .
Swali langu ni hili, Mtu huyu ana Moyo wa aina gani kiasi cha kuvumilia mambo haya?
Pia soma:
Ili apewe nani?Kakomaa kisiasa na anazishinda hisia
Namkubali kwa Hilo
Lakini aangalie uwezekano wa kuachia kiti Cha uenyekiti
ni mwaka gani? na huyo Lipumba yuko wapi leo?Kipindi Mbowe anagombea u -Rais, alikuwa anapata kura kidogo sana kuliko hata Lipumba na CUF yake. Sasa sijui ubingwa wa siasa kwenye maziwa makuu kaupatia wapi..?🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣Hakunaga Kisasi mbele ya Asali
Ukweli mchungu.
uthibitisho?Ukweli mchungu.
Twajua mengi ya kuumiza mioyo
Lakini, hataweza kuja kusema wakati akiwa kwenye kazi ya kulipa kisasi, maana visasi vya wasio na mamlaka makubwa haviwi hadharani.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa, Kudhalilishwa na kutukanwa hata Matusi ya nguoni, tena wakati mwingine anatukanwa na watu ambao amewakuza na kuwalea kisiasa na kimaisha, Lakini hakuwahi kuwajibu, Kulipa kisasi wala hata kupambana nao, mara zote amekuwa kama Kaka Mkubwa au kama Mzazi, ambaye anaamini kwamba Mtoto akinyea mkono basi usiukate, chukua maji na sabuni uoshe utatakata tu .
Nikiwa kama Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa kimataifa na Mbobevu wa siasa za Tanzania nimempigia simu Mwamba huyu na kumuuliza kwanini asiitishe Press ili kufafanua Tuhuma na matusi dhidi yake kutoka kona mbalimbali, ambayo inaonekana kama yanamchafua?
Kwanza alinijibu kwa ufupi kwamba NO COMMENT, hapa alilenga kunikatisha niishie hapo na nisiendelee tena kumuuliza chochote kuhusu hilo, lakini nilipombana sana Mwamba huyo alisema kwamba hatojibu hoja ambazo zinahusu, kashfa, Matusi kwake binafsi, na kwa kadri ya kumbukumbu zake matusi na kashfa dhidi yake ni nyingi mno na isingekuwa rahisi kuzijibu na wala hazina tija yoyote, Na kwamba yuko tayari kujibu maswala yote yanayohusu Chadema na mipango yake.
Sasa kwa vile hoja zangu zilihusu Mashambulizi anayoyapata yeye binafsi, na wala haikuwa masuala ya Chadema kama Chama ikabidi niishie hapo .
Swali langu ni hili, Mtu huyu ana Moyo wa aina gani kiasi cha kuvumilia mambo haya?
Pia soma:
Umenikumbiusha Marehemu Chacha Wangwe na Zitto Kabwe! Ahahahahaha!!!