Ukombozi wa Taifa hili la Tanganyika utakuwa mgumu sana!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs

2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na sIwezi kuwalaumu, they have to survive with their families

3. Wafany biashara wanaogopa kubambikiwa kodi na harassment!

4. Machawa akina Balile & Co. Ltd ni wasaliti wa ukombozi wa Umma na wanapewa fursa na watawala

5. Wadikiteita hawaogopi maneno, Polepole unajisumbua na kuwatisha kuwa leo utatoboa mtumbwi kwa maneno...............DICTATORS DO NOT HEED TO WORDS

In the Romanian Revolution of 1989, over 1,100 people were killed, according to the BBC and Wikipedia. The revolution, which overthrew the communist regime of Nicolae Ceaușescu, was a violent period marked by both protests and military action.
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha kwenye social media tumeshaandamana tayari
 
wananchi wakiamua basi hata ccm haina cha kufanya zaidi ya kuondoka ila mpaka unaiona mpaka mda huu maana yake bado inakubalika
 
Anaewapigania watanganyika yupo nyuma ya nondo zaid ya mwez 1 sasa

ila hao wanaopiganiwa wapo kimya kama hakijatokea kitu vile mambo yanaenda utazani hakuna chochot kilichotokea 😀

Ndio maana mbowe aliamua kuramba asali coz hao wanaopiganiwa bado hawajajitambua 😀
 
wananchi wakiamua basi hata ccm haina cha kufanya zaidi ya kuondoka ila mpaka unaiona mpaka mda huu maana yake bado inakubalika
It depends, haipendwi na wengi.....polls zinaonesha samia yuko least approved kati yake na Nchimbi, Polepole, Makamba, Gwajima....browse X utaona
 
Ukombozi wa Mataifa hautokani na watu au maandamano bali ni mtu moja moja wanaibuka katika Taifa husika na kubadili muelekeo wa nchi zao.
Mfano mzuri ni akina Mussolin,Hitler,Joseph stalin,Hirohito,Churchill, Putin,Xi ping.
 
sio kwel, media znapotray picha wanaotaka wewe uone, kwa mfano saaahv naweza nkakwambia ccm ndo chama kikubwa kuliko vyote afrika, toka kimeanza miaka 10 iliopita kimepata waungwaji mkono zaidi kuliko kipindi chochote kile na official data zipo mfano idadi ya wanachama wanakaribia mil 20 saahv utasemaje kimepoteza kuaminiwa?
 
Anaewapigania watanganyika yupo nyuma ya nondo zaid ya mwez 1 sasa

ila hao wanaopiganiwa wapo kimya kama hakijatokea kitu vile mambo yanaenda utazani hakuna chochot kilichotokea 😀

Ndio maana mbowe aliamua kula asali coz hao wanaopiganiwa bado hawajajitambua 😀
anampigania nan? yeye agenda yake ashinde uchaguzi unasemaje anapigania watanzania
 
Ukombozi wa Mataifa hautokani na watu au maandamano bali ni mtu moja moja wanaibuka katika Taifa husika na kubadili muelekeo wa nchi zao.
Mfano mzuri ni akina Mussolin,Hitler,Joseph stalin,Hirohito,Churchill, Putin,Xi ping.
wananchi wenyewe mpaka waamue ukiona wananchi hawakuungi mkono jua hauna cha maana unaongea
 
sio kwel, media znapotray picha wanaotaka wewe uone, kwa mfano saaahv naweza nkakwambia ccm ndo chama kikubwa kuliko vyote afrika, toka kimeanza miaka 10 iliopita kimepata waungwaji mkono zaidi kuliko kipindi chochote kile na official data zipo mfano idadi ya wanachama wanakaribia mil 20 saahv utasemaje kimepoteza kuaminiwa?
Kumbee ! Basi hata reforms zikifanywa kumbe haina shida 😳 ! Au nasema uongo ndugu zanguniii ??! 🤷🏿‍♂️
 
H
Ukombozi wa Mataifa hautokani na watu au maandamano bali ni mtu moja moja wanaibuka katika Taifa husika na kubadili muelekeo wa nchi zao.
Mfano mzuri ni akina Mussolin,Hitler,Joseph stalin,Hirohito,Churchill, Putin,Xi ping.
Huyo mtu mmoja bila kuungwa mkono, yatakuwa maajabu ya dunia.
 
Back
Top Bottom