1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs
2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na sIwezi kuwalaumu, they have to survive with their families
3. Wafany biashara wanaogopa kubambikiwa kodi na harassment!
4. Machawa akina Balile & Co. Ltd ni wasaliti wa ukombozi wa Umma na wanapewa fursa na watawala
5. Wadikiteita hawaogopi maneno, Polepole unajisumbua na kuwatisha kuwa leo utatoboa mtumbwi kwa maneno...............DICTATORS DO NOT HEED TO WORDS
In the Romanian Revolution of 1989, over 1,100 people were killed, according to the BBC and Wikipedia. The revolution, which overthrew the communist regime of Nicolae Ceaușescu, was a violent period marked by both protests and military action.
Hii timu ilituchelewesha sana:
Kwani wewe ni yupi hapo mkuu?