1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs
2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na sIwezi kuwalaumu, they have to survive with their families
3. Wafany biashara wanaogopa kubambikiwa kodi na harassment!
4. Machawa akina Balile & Co. Ltd ni wasaliti wa ukombozi wa Umma na wanapewa fursa na watawala
5. Wadikiteita hawaogopi maneno, Polepole unajisumbua na kuwatisha kuwa leo utatoboa mtumbwi kwa maneno...............DICTATORS DO NOT HEED TO WORDS
In the Romanian Revolution of 1989, over 1,100 people were killed, according to the BBC and Wikipedia. The revolution, which overthrew the communist regime of Nicolae CeauΘescu, was a violent period marked by both protests and military action.
Ninamuasa mh TUNDU nae Mungu akimjaalia akatoka basi alegeze msimamo wake na ajikite katika KULAMBA ASALI ili anufaishe familia na kizazi chake! Watanzania sio viumbe wa kupigania kwani wao waliumbwa kunyonywa, kuonewa na kukandamizwa!Anaewapigania watanganyika yupo nyuma ya nondo zaid ya mwez 1 sasa
ila hao wanaopiganiwa wapo kimya kama hakijatokea kitu vile mambo yanaenda utazani hakuna chochot kilichotokea π
Ndio maana mbowe aliamua kula asali coz hao wanaopiganiwa bado hawajajitambua π
Mwezi, mbona minne kuelekea mitano !!!!!Anaewapigania watanganyika yupo nyuma ya nondo zaid ya mwez 1 sasa
ila hao wanaopiganiwa wapo kimya kama hakijatokea kitu vile mambo yanaenda utazani hakuna chochot kilichotokea π
Ndio maana mbowe aliamua kula asali coz hao wanaopiganiwa bado hawajajitambua π
Vichekesho hiviHata mbuyu ulianza kama mchicha kwenye social media tumeshaandamana tayari
Lissu hapiganii mtu yoyote anapigania maslahi yake.Anaewapigania watanganyika yupo nyuma ya nondo zaid ya mwez 1 sasa
ila hao wanaopiganiwa wapo kimya kama hakijatokea kitu vile mambo yanaenda utazani hakuna chochot kilichotokea π
Ndio maana mbowe aliamua kula asali coz hao wanaopiganiwa bado hawajajitambua π
Basi fanyeni sasa kama hao waliwa chelewesha
Fullstop si kinyume na hapo.Revolution hii Nchi itaanziaga kwenye vyombo vya Dola .
πππ huu ni ukweli mchungu yoyote anaeamini kwamba ccm wataachia nchi kwa zile ngojera za pole pole akapimwe akili π
Watanzania wengi tunataka mabadiliko bila ya kuhusika
Basi fanyeni sasa kama hao waliwa chelewesha
Omba Mungu huku ukikimbia ukisimama ni lazima uliwe kichwa.Yesu Kristo ndiye Njia, Kweli na Uzima