ameline hongera kwa kupata watoto mapacha kawaida damu hiyo unayoongelea hukatika kuanzia wiki 3 mpaka 6 kwa hivyo usihofu,inachuka muda vidonda vinavyotokana na placnta(kondo la nyuma) kubanduka kwenye kizazi(uterus).may be kama hiyo damu inatoa harufu mbaya hii inaweza kuashiria infection.
Endelea kula vizuri tu na kufurahia zawadi aliyokupa Mungu vitapona tu bado ni mapema mno.
jamani mbona mmenisusa tena nisaidien jamani
Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili..
Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa kwanza..ni sawa mpaka sasa damu/uchafu kutoka ama nina tatizo?
Na je kawaida damu/ hukata baada ya muda gani baada ya kujifungua?
Madaktari na wenye uzoefu nawasilisha kwenu.

Hivi haya maswali mnaulizaga humu, mkienda clinic mnaongea na gynae na wakunga? Ama mnapima uzito tu? Ukienda hospitali uliza maswali.
Hivi haya maswali mnaulizaga humu, mkienda clinic mnaongea na gynae na wakunga? Ama mnapima uzito tu? Ukienda hospitali uliza maswali.
ameline hongera sana kwa kuwa mama na hongera ya pili kwa kuitwa mama wawili na hongera ya tatu kwa kuthubutu kuzaa. Mungu akukuzie wanao nawe uwalee vyema waje wakufae baadae.
nirudi kwenye mada yako, kwanza ondoa shaka huo sio ugonjwa na damu hiyo waweza kutonesha hadi siku 60 kama ikizidi sana na hapo ni kama kila siku itakuwa inadondosha, lkn pia yaweza kwenda hadi miez sita iwapo itakuwa inatonesha na kukata na hii huwa sio nzuri sana manake kwa baadhi ya akina mama huwa inawapa tabu kidogo.
kwa wewe hata mwez bado usijali kabisa, na kwakua haiumi usiwaze.
ushauri wangu hakikisha unapata fluids, fruits na vegs ili kukupa virutubisho muhimu mwilini ambavyo vitakusaidia kupambana na mambo haya mawili makubwa kwanza kukuongezea madini ya chuma na zinc mwilini na pia kukufanya uwe na maziwa ya kutosha yenye virutubisho muhimu kwa wanao na tattu kubwa kuliko yote kukukinga na magonjwa, na kurepair tissues zako. kumbuka kutokula vyema kwaweza kukufanya ukapata unyafuzi wa ulezi na huu ni mbaya sana.
nimalizie kwa kusema usijali kabisa na lea wanao kwa furaha sana..........
Nb kama unahofia hubby chubby utamliwazaje na hali hiyo hapo sasa twende chemba nikupe mbinu zote za mstuni na njiani................