ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,151
Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili..
Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa kwanza..ni sawa mpaka sasa damu/uchafu kutoka ama nina tatizo?
Na je kawaida damu/ hukata baada ya muda gani baada ya kujifungua?
Madaktari na wenye uzoefu nawasilisha kwenu.