Ukomo wa damu baada ya kujifungua

Ukomo wa damu baada ya kujifungua

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,151
Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili..

Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa kwanza..ni sawa mpaka sasa damu/uchafu kutoka ama nina tatizo?

Na je kawaida damu/ hukata baada ya muda gani baada ya kujifungua?

Madaktari na wenye uzoefu nawasilisha kwenu.
 
jamani mbona mmenisusa tena nisaidien jamani
 
ameline hongera kwa kupata watoto mapacha kawaida damu hiyo unayoongelea hukatika kuanzia wiki 3 mpaka 6 kwa hivyo usihofu,inachuka muda vidonda vinavyotokana na placnta(kondo la nyuma) kubanduka kwenye kizazi(uterus).may be kama hiyo damu inatoa harufu mbaya hii inaweza kuashiria infection.

Endelea kula vizuri tu na kufurahia zawadi aliyokupa Mungu vitapona tu bado ni mapema mno.
 
Fuata ushauri huu amaline
 
Last edited by a moderator:
jamani mbona mmenisusa tena nisaidien jamani

Hawajasusa ila wengi wataalamu walishakimbia jukwaa hili baada ya kuona wagonjwa wanaopewa ushauri hawaleta feedback,na wakati mwingine wanapost na kukimbia kuna mambo ya kumuuliza, unamuuliza swali harudi kujibu hilo swali ili asaidiwe.
 
Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili..

Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa kwanza..ni sawa mpaka sasa damu/uchafu kutoka ama nina tatizo?

Na je kawaida damu/ hukata baada ya muda gani baada ya kujifungua?

Madaktari na wenye uzoefu nawasilisha kwenu.

subiri wataalamu watafika punde,
 
Hongera ameline, endelea kula vizuri, pumzika vya kutosha, na wanyonyeshe vizuri wanao. Fuata hiyo damu kama imeshapungua, ujue inaelekea kukatika.
 
Mi sina ujuzi wowote,nataka tu nikupongeze kwa mapacha,napenda sana mapacha.Hongera sana
 
ameline hongera kwa kupata watoto mapacha kawaida damu hiyo unayoongelea hukatika kuanzia wiki 3 mpaka 6 kwa hivyo usihofu,inachuka muda vidonda vinavyotokana na placnta(kondo la nyuma) kubanduka kwenye kizazi(uterus).may be kama hiyo damu inatoa harufu mbaya hii inaweza kuashiria infection.

Endelea kula vizuri tu na kufurahia zawadi aliyokupa Mungu vitapona tu bado ni mapema mno.

asante sana ndugu ubarikiwe maana nlikua na hofu sana
 
kawaida sana, wengine hadi 3months. Epuka kufanya kazi zinazochosha mgongo.

Nakutamanije
 
Kwa sisi watu wa FIQHI hiyo damu tunaita ni NIFASI,
Uchache wake ni siku moja na wingi wake ni siku 40 hadi 60. Ikizidi hapo hiyo tunaita ISTIHADHA(ni ya ugonjwa) .

Asante Makamee;;nashukuru sana
 
Hongera ameline, endelea kula vizuri, pumzika vya kutosha, na wanyonyeshe vizuri wanao. Fuata hiyo damu kama imeshapungua, ujue inaelekea kukatika.

Asante sana nashukuru ndugu
 
Hivi haya maswali mnaulizaga humu, mkienda clinic mnaongea na gynae na wakunga? Ama mnapima uzito tu? Ukienda hospitali uliza maswali.
 
ameline hongera sana kwa kuwa mama na hongera ya pili kwa kuitwa mama wawili na hongera ya tatu kwa kuthubutu kuzaa. Mungu akukuzie wanao nawe uwalee vyema waje wakufae baadae.

nirudi kwenye mada yako, kwanza ondoa shaka huo sio ugonjwa na damu hiyo waweza kutonesha hadi siku 60 kama ikizidi sana na hapo ni kama kila siku itakuwa inadondosha, lkn pia yaweza kwenda hadi miez sita iwapo itakuwa inatonesha na kukata na hii huwa sio nzuri sana manake kwa baadhi ya akina mama huwa inawapa tabu kidogo.

kwa wewe hata mwez bado usijali kabisa, na kwakua haiumi usiwaze.

ushauri wangu hakikisha unapata fluids, fruits na vegs ili kukupa virutubisho muhimu mwilini ambavyo vitakusaidia kupambana na mambo haya mawili makubwa kwanza kukuongezea madini ya chuma na zinc mwilini na pia kukufanya uwe na maziwa ya kutosha yenye virutubisho muhimu kwa wanao na tattu kubwa kuliko yote kukukinga na magonjwa, na kurepair tissues zako. kumbuka kutokula vyema kwaweza kukufanya ukapata unyafuzi wa ulezi na huu ni mbaya sana.

nimalizie kwa kusema usijali kabisa na lea wanao kwa furaha sana..........

Nb kama unahofia hubby chubby utamliwazaje na hali hiyo hapo sasa twende chemba nikupe mbinu zote za mstuni na njiani................
 
Last edited by a moderator:
Hivi haya maswali mnaulizaga humu, mkienda clinic mnaongea na gynae na wakunga? Ama mnapima uzito tu? Ukienda hospitali uliza maswali.

sio kwamba hatuulizi ndugu.ntunauliza sana mfano.mim niliambiwa ni wiki1/2 sasa nkaona inaendelea na sipo karibu na doctor wala nurse nikaona si mbaya kuuliza kwann niwe na waswas maana naweza.kwenda hosp kwa suala ambalo halikustahili kama hivi..na mim nliogopa nkadhan labda sababu ni hawa mapacha labda..sio kila mtu ni mjuz ndugu wengine ndo tunaanza na kuuliza si ujinga
 
Hivi haya maswali mnaulizaga humu, mkienda clinic mnaongea na gynae na wakunga? Ama mnapima uzito tu? Ukienda hospitali uliza maswali.

when was the last time you visited postnatal clinic??

tuliobahatikaga kufundishwa ni wale tuliozaa enzi za nepi na mafuta ya nazi, siku hizi za pampers na baby oil ukishapima uzito subiri miez sita ipite ili ukaribishwe kwenye dawati la kupanga uzazi.
 
ameline hongera sana kwa kuwa mama na hongera ya pili kwa kuitwa mama wawili na hongera ya tatu kwa kuthubutu kuzaa. Mungu akukuzie wanao nawe uwalee vyema waje wakufae baadae.

nirudi kwenye mada yako, kwanza ondoa shaka huo sio ugonjwa na damu hiyo waweza kutonesha hadi siku 60 kama ikizidi sana na hapo ni kama kila siku itakuwa inadondosha, lkn pia yaweza kwenda hadi miez sita iwapo itakuwa inatonesha na kukata na hii huwa sio nzuri sana manake kwa baadhi ya akina mama huwa inawapa tabu kidogo.

kwa wewe hata mwez bado usijali kabisa, na kwakua haiumi usiwaze.

ushauri wangu hakikisha unapata fluids, fruits na vegs ili kukupa virutubisho muhimu mwilini ambavyo vitakusaidia kupambana na mambo haya mawili makubwa kwanza kukuongezea madini ya chuma na zinc mwilini na pia kukufanya uwe na maziwa ya kutosha yenye virutubisho muhimu kwa wanao na tattu kubwa kuliko yote kukukinga na magonjwa, na kurepair tissues zako. kumbuka kutokula vyema kwaweza kukufanya ukapata unyafuzi wa ulezi na huu ni mbaya sana.

nimalizie kwa kusema usijali kabisa na lea wanao kwa furaha sana..........

Nb kama unahofia hubby chubby utamliwazaje na hali hiyo hapo sasa twende chemba nikupe mbinu zote za mstuni na njiani................

Jamani gfsonwin:; nakushukuru sana kwa pongezi na maelezo yako nimeyaelewa kabisa May God bless you! nashukuru kwa kunitia moyo.nimefarijika sana sana...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom