Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Hatari sana Toyota Century yeye ni mwendo wa V12 na V8. Muundo wa body hawajaweka sana mbwembwe.

Wakongo na Zambia wao hawana habari ya kuogopa.
Mzee baba v6 yenyewe raia hawataki kuisikia,utashangaa wanauliza unataka hio gari kwani unamiliki petrol station?

Zambia naona wana magari ya maana kuliko sisi,huku wakiwa na makazi duni kutuzidi hahah.

Wacongo ukicheki hata gari zinazotoka hapo bandarini kwenda kwao ziko mukide sana,wanajua magari mazuri wale jamaa.
 
Hapo ndo mahala pake tena hiyo ni 5000cc V12. Chombo inakuwa imetulia hapo fully stability, comfortability na power.

Sisi wabongo tunataka Sedan zenye inline 4 cylinder.
Mazingira yao yao yanaruhusu kama wana barabara za kutembea speed hadi 120 kwann wasitumie
 
Watu wanataka gari yenye show nzuri wauze...
 
Hapo ndo mahala pake tena hiyo ni 5000cc V12. Chombo inakuwa imetulia hapo fully stability, comfortability na power.

Sisi wabongo tunataka Sedan zenye inline 4 cylinder.
Ni mwendo wa kula urefu wa kamba tu hapo 😃😃
 
Ingekuwa pouwa sana Toyota Avensis wangetoa version ya SUV
 
Mbona haina tofauti sana na Rav4 mpya?!!
 
Mnyama nilikiwa namkubali sana kwenye safari ndefu kitu kimetulia puling ya kutosha TOYOTA, shida wanamuwaza sana RANGE ROVER ..... wabaki kwenye mstari tu vinginevyo mambo yatakuwa magumu sana
Wala hawampati Range over kwenye SUV hata ukimueka Lexus luxury brand. Yaani kwa sasa Range rover hana mpinzani kwenye hio segment. Wengine wanauza gari majina tu lakini sio functionalities na features. BMW zake anaziita SAV ili ajifanye hayumo kwenye SUV 😀
 
Toleo jipya la TDI litawafanya TOYOTA wafikirie upya project yao LC70 kwa sababu ndio alikuwa mpinzani wa Hardtop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…