"Hiyo Cullinan ipelekwe Paris to Dakar".Hizo video za youtube usizipe kipaumbele ni mbinu za kibiashara.
South Africa kuna kuwa na Off-road rally Ford Ranger huwa anaburuzwa na Nissan na Toyota.
Hiyo Cullinan ipelekwe Paris to Dakar nchi za America kusini amini utaiona ni mchumba.Lakini Toyota,Nissan wamepambana sana kwenye off road huko Paris-Dakar na kufanya vyema.
Wenyewe wanakwambia the only place that one can depend on a landrover is when it's in it's natural environment,ON THE BACK OF THE TOW TRUCK.Land Rover hakupi uhakika ukiwa porini kama Land Cruiser. Hiyo Defender hata wazungu wenyewe hawatonunua Kwa wingi kupeleka kwenye Mission za NATO,UN na AU wanajua hilo ni toto Mayai mayai haliwezi kazi ngumu.
Jiulize kwanini Australia inaongoza Kwa kuwa na Land Cruiser nyingi wakati kuna option nyingi.
Ah kwa design ya gari LR defender nzuri kuliko LC70, hadi interior ile chuma imetegezwa. Kwa reliability sishangai, toyota pick up OLD iliwekwa juu ya jengo la gorofa lilikuwa demolished, gari imetoka inatembea, imechomwa moto bado gari inatembea.'Hebu itizame new model land rover defender'
Aisee hio gari ni takataka kabisa from design(shape mbaya kinyamaaa) mpk reliability.
Kuna a/c maarufu huko youtube inaitwa Fast lane car jamaa alinunua hio gari akaenda nayo off-road ya kawaida maana anasema huko alikoenda gari yoyote ile yenye 4wd inaenda,wkt anarudi kwake gari ikamuwashia check engine light kumbuka mpk hapo gari ina Km 270 tu na ina siku mbili tu tangu imenunuliwa,ikabidi ipelekwe kwa dealers kutengenezwa imerudi tena barabarani jamaa anagundua camera za nyuma hazifanyi kazi na kwa US sheria zao kwa sasa ni camera ya nyuma ni lazima ikabidi irudi kwa dealer tena,na anasema mpk muda ule engineers wa LR hawajaweza kutatua tatizo hilo,hawajui shida iko wapi.
Hii ishakuwa shida..'Hebu itizame new model land rover defender'

Toyota anatengeneza gari za kazi, na Land Rover yeye anatengeneza gari Luxury na hiyo Luxury ni hii new model.Ah kwa design ya gari LR defender nzuri kuliko LC70, hadi interior ile chuma imetegezwa. Kwa reliability sishangai, toyota pick up OLD iliwekwa juu ya jengo la gorofa lilikuwa demolished, gari imetoka inatembea, imechomwa moto bado gari inatembea.
Na nimesema linapokuja suala la reliability toyota hawezekaniki ila design and features, toyota hampati LR mkuu.
2020 magari yana design ya miaka 90
View attachment 1631158
Chuma ukiiona tu unajua kama ya 2020
View attachment 1631159
Huyo aliepata check engine ilikuwa ya nini?
Mkuu hao Land Rover Defender na Tdi injini wamepambana sana kushindana na Toyota LC70. Wamebadili matoleo ya injini mara kibao baada ya injini zao kuwa na matatizo walianza na hiyo Tdi200 ambayo wewe unasema Tdi original.Binadamu tunapenda luxury, kati LR na LC70 ushindani wao hupo na ni wa miaka. Kuhusu RL kuwa na sophiscated features ni nyingi haiondolei sifa kuwa bado ni gari ya field. Mnaokumbuka Tdi original ziliisumbua Sana LC70. Mpaka sasa LR wametoa tolea jipya bado haijawa well explored kuhusu field performance and durability. Wacha muda utaongea ziwe nyingi na matumizi yake tuya experience kuliko kuishia kureview video tu. Mpaka sasa LC70 naweza sema bado yupo juu kwa sababu tunaishi nae na tunaona vurugu zake live.
View attachment 1631232
Hizo zamani, tunazungumzia za saivi. Na point kubwa ni price justification.Toyota anatengeneza gari za kazi, na Land Rover yeye anatengeneza gari Luxury na hiyo Luxury ni hii new model.
Kama umewahi tumia Land Rover Defender kuanzia Td200/Td300/Td5/Santana/Puma hata ikiwa na coil springs mbele na nyuma ukiwa off road haina utulivu kama haina mzigo inaruka ruka sana, hata ukipiga tuta. Stability ukitaka kukukata kona ukiwa zaidi ya 80km/h ni Sawa na L/Cruiser hukawii kumwagika chini.
Mkuu Toyota ya 1980 na za kuanzia 2010 tofauti ipo tena kubwa, labda kama umeangalia body na face lift.Hizo zamani, tunazungumzia za saivi. Na point kubwa ni price justification.
Toyota Zamani na Mpya mifumo nayo iko vile vile.
Naona wame disign body kwa ajili ya shughuli za kijeshi, ile kilichomo ndani ni LC70. πππMkuu Toyota ya 1980 na za kuanzia 2010 tofauti ipo tena kubwa, labda kama umeangalia body na face lift.
Lc70 za nyuma zilikuwa ngumu kwenye gear transmission ila saizi kitu laini na sehemu nyingine tofauti. Hawawezi kuwa na mifumo ile ile wakati kila mwaka wanafanya research and development na wakaboresha kadri ya mahitaji ya wateja na soko.
Cheki hii link Toyota South Africa wameleta Armoured Land Cruiser, mauzo yake itakuwa balaa Kwa majeshi ya Africa,Asia na America kusini bila kusahau waasi wa Drc,Syria,Libya,Iran.
New Land Cruiser bakkie is riot proof
What is better than a Land Cruiser Namib? A Max3β¦ South African ingenuity is highly regarded in the realm of armoured vehicles design, especially when it applies to bakkies. Combining the inarguable ruggedness of Toyotaβs Land Cruiser 70-Series platform with an innovative new cab design, the SVI...www.cars.co.za
Nazungumzia body kwa ujumla, yaani mimi sizungumzii engine wala gearbox. Gari ya milioni 200 inatumia shocks za spring wakati mwenzako anatumia air suspension tena ride ina comfort!Mkuu Toyota ya 1980 na za kuanzia 2010 tofauti ipo tena kubwa, labda kama umeangalia body na face lift.
Lc70 za nyuma zilikuwa ngumu kwenye gear transmission ila saizi kitu laini na sehemu nyingine tofauti. Hawawezi kuwa na mifumo ile ile wakati kila mwaka wanafanya research and development na wakaboresha kadri ya mahitaji ya wateja na soko.
Cheki hii link Toyota South Africa wameleta Armoured Land Cruiser, mauzo yake itakuwa balaa Kwa majeshi ya Africa,Asia na America kusini bila kusahau waasi wa Drc,Syria,Libya,Iran.
New Land Cruiser bakkie is riot proof
What is better than a Land Cruiser Namib? A Max3β¦ South African ingenuity is highly regarded in the realm of armoured vehicles design, especially when it applies to bakkies. Combining the inarguable ruggedness of Toyotaβs Land Cruiser 70-Series platform with an innovative new cab design, the SVI...www.cars.co.za
Cc 5000 kwenye sedan maji lazima uite mma,ni zaidi ya crown majestaWe jamaa bwana πππ cc5000 za nini sasa tena kwenye sedan!
Mzee baba v6 yenyewe raia hawataki kuisikia,utashangaa wanauliza unataka hio gari kwani unamiliki petrol station?
Zambia naona wana magari ya maana kuliko sisi,huku wakiwa na makazi duni kutuzidi hahah.
Wacongo ukicheki hata gari zinazotoka hapo bandarini kwenda kwao ziko mukide sana,wanajua magari mazuri wale jamaa.
We ndio unaona hivyo ila its more appealing kuliko Rav4
Hebu itizame new model land rover defender na new model ya LC70. Land Rover wanajua wanachofanya, toyota anamtesa LR sehemu moja tu, engine reliability ila kwenye design, features na mengine toyota asubiri tu.
Mkuu ndio mambo yko nnCc 5000 kwenye sedan maji lazima uite mma,ni zaidi ya crown majesta
Ya 2020 ni kisukabisa,hakuna gari siipendi kama Rav4 sijui wanaotengeneza waliwaza nini wale jamaa Rav4 zote hazina mvuto kabisa.
Ya 2020 ni kisu
Na Toyota-RUSH imetola toleo jipya, ni SUV ya maana utafikiri ni Harrier, kama ulivyosema jamaa wanakomaa na SUV kwa sasa, labda ni market strategy!Watoe tu mbona Rolls Royce walitoa Cullinan na Bentley wakatoa Bentyaga na maisha yanaenda.
Soko la Cross SUV ndio soko linalofanya vizuri zaidi. Watu wanahama kwenye Sedans kwa kasi wanakimbilia kwenye hatchbacks na Cross SUV. Toyota wanaenda kufanya mabadiliko makubwa tu kuna Corrolla imetoka inaitwa Corrolla Cross imesimamia kucha. Model ya 2021