Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Mkuu LC series 70 ni heavy duty sasa air suspension sio muhimu. Wao wameweka coil spring mbele na leaf spring nyuma sababu gari itafanya kazi nzito na mazingira magumu.

Hiyo air suspension nenda nayo kwenye njia korofi hata hiyo comfort ride hutoisikia zaidi ya gari kuhamahama.

Mfano ukichukua Lc pick up na L/Rover Defender pick up yenye coil spring mbele na nyuma ukazipa mzigo tani 1 kisha uingie njia mbaya mwisho wa safari mwenye L/Rover lazima ucheki bush na kuna uwezekano wa kukatika spring.
 
Pia tukumbuke kuwa hizi crown ambazo zimejaa hapa Tanzania ni za kitambo kuanzia 2005-2013..
Sasa kama matoleo yanaishia mwakani naona bado kuna muda mwingi wa kuendelea kuagiza haya Magari,nahisi bado crown zitaendelea kutumika mpaka mwaka 2030
2030 bado ni karibu, nadhani 2045 huko...Bongo mpaka sasa magari ya 1996 yapo barabarani..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hahah kiongozi niliwahi kua na disco 2 2009-2013 hio air suspension ilikua ni kimeo hatari,by then likua ni £250/balloon na haikai zaidi ya miezi 9 inazingua chap,ilikua ni full upuuzi.
 
LC 200 ni mbaya kiasi kwamba vijana wetu wa veta wanaweza kudesign a better looking car.

Unatoa 300Mil kwa Land cruiser ipo poorly designed.
 

LC 200 VS BENZ GLS.
View attachment 1631885View attachment 1631886
 
wanyama hawa hapa sedans
NISSAN FUGA
NISSAN MAXIMA*
NISSAN ALTIMA
NISSAN TEANA
NISSAN SKYLINE
crown ndo kitu gani sisi uku kwetu hatuitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…