Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Are you sane?

Hiyo hapo ni Range Sport ya mwaka 2005. Unailinganisha na;-

1. Land Cruiser ya mwaka 2014.

2. Pickup ya mwaka 2013.

Deprecation matters also.

Nimekuwekea bei ya Range Sport ya 2014 toka Beforward bila kodi.

20201129_180925.jpg
 
View attachment 1637699
1606663446045.png

Hiyo ni workstation double cab LC70 ya 2014 , nimeona hizo za insta bei hazina uiano, ikabidi na mimi nizame beforward mtandao wa watu

Hiyo hapo chini LC70 GLX wagon ya 2014 humo humo beforward
1606663594155.png

1606663746768.png
Hiyo LC70 workstation ya 2014 humo humo beforward bila kodi, embu tuache linganisha Toyota na Brands za kijinga
 
Toyota Fortuna ya bei ya chini 2014 hapo beforward bila kodi
1606664328312.png
 
Haya tumewaelewa.....

Ninachoweza kusema ni hiki....huwezi kufananisha hao kuku wa Kisasa wa Ulaya na magari ya kijapani...all European vehicles are assholes when we are talking about African terrains.....Naweza sema hata Mazda ni reliable kuliko hao kuku wa kisasa wa ulaya..

Vipi hatma ya akina Halima Mdee baada ya kufukuzwa uanachama kule chadema..?
 
Tusubiri upande wa pili bado haujaita press
 
Mbona bei sawa na ile nilioiweka? Vipi kuhusu reliability yake?
Yaani kwenye Toyota na LR, Tunalinganisha Fortuner na Range Rover sports kweli? Ndio ujue Toyota yuko vizuri bado. Hata kwenye off road bado Fortuner anaweza fanya vizuri pia kuzidi hiyo RR
 
Watoe tu mbona Rolls Royce walitoa Cullinan na Bentley wakatoa Bentyaga na maisha yanaenda.

Soko la Cross SUV ndio soko linalofanya vizuri zaidi. Watu wanahama kwenye Sedans kwa kasi wanakimbilia kwenye hatchbacks na Cross SUV. Toyota wanaenda kufanya mabadiliko makubwa tu kuna Corrolla imetoka inaitwa Corrolla Cross imesimamia kucha. Model ya 2021
SUV ndio mwake-mwake kwa ss wa Halmashauri huku
 
Jamaa yangu analo li crown majesta,linatembea kila mwisho wa mwezi tu
 
Back
Top Bottom