Ukondefu unaninyima amani nifanyeje ili nipate walau vinyama kidogo

Ukondefu unaninyima amani nifanyeje ili nipate walau vinyama kidogo

Jiamini ..wewe unaonekana ata ukiambiwa umwagiwe sperms ndo unenepe na utakubari
 
Ahsante mkuu ila kwa sasa nataman mwili flani wenye kitambi maana kila kitu kinanafasi yake kulingana na sehem uliyopo mwili wangu unaninyima michongo mingi kutokana na kutaminika kwa watu ninaotakiwa kufanya nao kazi
Kitaalamu sikushauri kabisa cheki kwanza BMI

CHUKUA UZITO WAKO GAWA KWA UREFU WAKO KG/M² urefu utaubadilisha katika mita Mana utakuwa katika sentimeta

Baada ya kupata majibu utasoma hapa chini upo katika kundi gani thenu utachukua maamuzi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

BMI 15 VERY SEVERELY UNDERWEIGHT
BMI 15-16 SEVERELY UNDERWEIGHT

BMI 16-18.5 UNDERWEIGHT

BMI 18.5-25 NORMAL(HEALTH WEIGHT)

25-30 OVER WEIGHT

30-35 MODERATE OBESE

35-40 SEVERELY OBESE

OVER 40 VERY SEVERELY OBESE

NI HAYO TU MZEE BABA[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Basi sio saizi yake huyo 😀 😀
Ujinga wa demu ukishanenepa na kitambi ataanza kukuzodoa hata hupendezi kama zamani.🤣🤣🤣

Ni sawa na mimi nikinyoa naonekana super HB ila mamsap ananiambia nakuwa na sura ya kitoto sana. Naamua kufuga nywele zikiwa nyingi amaanza upo rough sana kama babu yani hata hupendezi 😂😂😂 huoni vijana wenzio walivyo smart yani.

Hapo natamani kama nimpe tusi ila naamua tu kuwa jentromeni.
 
Mbona umeandika kama yule wakili rafiki yake bananga
Asante mkuu nimedandia huu ushauri, mi mwenyewe ni mwembamba hadi naogopa kupima uzito ingawa nachukulia poa tu sijawai kujishughurisha na hilo, ila ushauri wako nitaufanyia kazi na mimi nione.
 
Msome mke wa mtume muhammad swallah llahu alayhi wasalamu, (Bi aysha) na ujifunze kutoka kwake.
IMG_20190805_131745.jpeg
 
Back
Top Bottom