Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Watalala na viatuTaarifa mbaya hii kwa maccm
Tupeleke watoto wetu wasome kwa Bidii.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ujumbe wa IPU umefika gereza la Ukonga na kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, anayeshikiliwa kwa Tuhuma za Uongo za Uhaini
Ujumbe huo umeongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo wa Mabunge ya Kidunia, Bwana Martin Chungong.
Watalala na viatu
IPU sio kule ambao Mwamba alikuwa Naibu Mwenyekiti?Mara utashangaa ujumbe mkuu wa Mr. Martin ni kumlegeza Lisu msimamo wake. Hilo hujaliwaza?
Mpaka serikali inamruhusu Mr. Martin inaweza kuwa ni njia mojawapo ya kumtuliza.
Siasa hizi
Jamaa amekaza kamba watu wa Lumumba hawaamin macho yao😂😂Mara utashangaa ujumbe mkuu wa Mr. Martin ni kumlegeza Lisu msimamo wake. Hilo hujaliwaza?
Mpaka serikali inamruhusu Mr. Martin inaweza kuwa ni njia mojawapo ya kumtuliza.
Siasa hizi
Nilikuwa siamini ilikuwaje Mandela anakaza 27 yrs, nashukuru Mungu ktk nyakati zangu nimeishi kipindi cha Mandela wa LeoJamaa amekaza kamba watu wa Lumumba hawaamin macho yao😂😂
Jamaa amekaza kamba watu wa Lumumba hawaamin macho yao😂😂
Huyu Mwamba hajawahi kushindwa kwenye mission zake zote alizowahi kufanya. Kuna watu kwa sasa wanabisha. Ila huyu jamaa atakuja kuwa Rais wa Tanganyika huru miaka michache ijayo.Jamaa amekaza kamba watu wa Lumumba hawaamin macho yao😂😂
Mara utashangaa ujumbe mkuu wa Mr. Martin ni kumlegeza Lisu msimamo wake. Hilo hujaliwaza?
Mpaka serikali inamruhusu Mr. Martin inaweza kuwa ni njia mojawapo ya kumtuliza.
Siasa hizi
Huyu Mwamba hajawahi kushindwa kwenye mission zake zote alizowahi kufanya. Kuna watu kwa sasa wanabisha. Ila huyu jamaa atakuja kuwa Rais wa Tanganyika huru miaka michache ijayo.
He is a true Patriot
Madini tuKitu pekee nimejifunza na maisha Kila Siku yananikumbusha binadamu usimuamini kwa asilimia 100%
Lisu ameonyesha uwezo mkubwa kimsimamo.
Lakini pekeake hataweza
Hao Wazungu sio wakuwaamini kwa 100% kwani nao ni watu. Wanachoangalia ni maslahi yao.
Unawaza ujinga ujinga
Hakuna wa kulegeza msimamo wa Lissu, angekua wa kulegeza msimamo asingekua huko ukonga mpaka muda huu
Serikali yako kwa sasa haina ubavu wa kuwazuia watu wakubwa kama hao kumuona Lissu, serikali yako imeshaingia uoga ina siku 180 tu za kurekebisha mambo
JPM sijui alikuwa misleaded wapi akiwa mzoefu kwa miaka zaidi ya 30 kwenye high ranksInaweza tokea.
Muhimu ajifunze utulivu.
Mwenzake JPM alikuwa anajitahidi Sana lakini kimedani kuna mambo alikuwa anaenda nje ya key
Hakuna ubishiHivi unajua USA akiamua Samia atoke ndani ya masaa 24 Hilo linatokea?