Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwa sasa kila Mgeni wa Kimataifa ataogopwa😄😄Unawaza ujinga ujinga
Hakuna wa kulegeza msimamo wa Lissu, angekua wa kulegeza msimamo asingekua huko ukonga mpaka muda huu
Serikali yako kwa sasa haina ubavu wa kuwazuia watu wakubwa kama hao kumuona Lissu, serikali yako imeshaingia uoga ina siku 180 tu za kurekebisha mambo